Msaada wa kisheria kampuni ya ndege kupoteza mzigo wangu

Msaada wa kisheria kampuni ya ndege kupoteza mzigo wangu

Able Gody seaman

New Member
Joined
Jun 29, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Tafadhalini ndugu na jamaa

Nilisafiri kutoka Dubai kuja DSM kupitia Nairobi kupitia mashirika mawili tofauti ya ndege kwa kuunganisha safari

Mpaka leo hii ni siku ya 17 sijaipata bag langu ambalo lilisafiri upande wa mizigo licha ya kujaza form terminal 2 tuliposhukia na jitihada zote za kuwasiliana na Swissport pale pamoja na hizo ndege mbili bila matumaini

Naombeni msaada kujua vipi napata hakika yangu kwa delay au loss.
 
Back
Top Bottom