Hili life bhana, kutoka kuwa African giant mpaka kuanza kulialia, mhh nguvu ya mashabiki ni kubwa badilikeni someni upepo, mashabiki siku hizi wanajitambua, Burna Boy amekutana na siti tupu kumbuka kazoea kujaza viwanja, lakini mambo yamekuwa tofauti raia zimemgomea, aombe radhi.
Juzi Kenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.