mzima

Mzima Springs are a series of four natural springs in Tsavo National Park, Kenya. They are located in the west of the Park, around 48 km from Mtito Andei. The source of the springs is a natural reservoir under the Chyulu Hills to the north. The Chyulu range is composed of volcanic lava rock and ash, which is too porous to allow rivers to flow. Instead, rain water percolates through the rock, and may spend 25 years underground before emerging 50 kilometres away at Mzima. The natural filtration process gives rise to Mzima's famously clear stream, which flows through a series of pools and rapids. Two kilometres downstream from the springs, the stream is blocked by a solidified lava flow and disappears below the surface again.
Mzima is one of Tsavo's most popular wildlife attractions owing to its resident populations of hippos and Nile crocodiles. Mzima's isolation makes both species are dependent on its waters: other sources are too distant for them to reach by overland travel. The hippos also sustain an entire food chain. They browse the surrounding savannah by night and return to Mzima's pools by day, where their dung fertilises the water. Fruiting trees such as date and raffia palms, waterberrys and figs grow beside the water, using their submerged roots to absorb nutrients. Their fruits are a source of food for vervet monkeys and a variety of birds. Below the water's surface, the invertebrates which feed on the hippo dung are preyed on by fish and cormorants.The springs were made famous by wildlife film-makers Alan and Joan Root's 1969 nature documentary Mzima: Portrait of a Spring, which featured underwater footage of the hippos and crocodiles. They were also the subject of the Survival Special Mzima: Haunt of the Riverhorse in 2003, which featured the first footage of a hippo infanticide.In 2009, a prolonged drought proved catastrophic for Mzima's wildlife. Starving game animals were driven to permanent water sources in their thousands, bringing them into competition with the resident hippos. The grassland surrounding the spring turned to desert and hippos began starving to death. In September 2009, only five remained, down from 70 in 2003, and journalists reported seeing carcasses floating in the pools.

View More On Wikipedia.org
  1. Timu ya Algeria yaweka rekodi ya dunia kwa kuvuna alama 4 tu msimu mzima

    Klabu ya Algeria HB Chelghoum Laïd 🇩🇿 imeweka Rekodi mbili za dunia baada ya kumaliza msimu wakivuna alama 4 tu katika mechi 30. Pia Wameweka rekodi ya kucheza mechi zote 30 za ligi bila kupata ushindi hata mmoja. Takwimu za timu hiyo: Mechi 30 Ushindi 00 Sare 04 Kupoteza 26 Pointi 04
  2. Ukiwa mtu mzima alafu ni ziro ni hasara

    Unakuta mtu mzima ana miaka 50+ lakini hajitambui yeye ni nani? Na anataka nini? Kwa umri wake na mbaya zaidi mtu mzima lakini ni jitu zima ovyo badirikeni ukishafika age fulani punguza vitu ambayo sio muhimu
  3. M

    Natafuta Mwanaume wa miaka 53-56 aliyejitunza kiafya

    Wee mwanaume. Kama:- 1. Una umri kati ya 53 - 56 2. Single/Divorced na upo tayari kuingia kwenye mahusiano ya kudumu. 3. Umejitunza kiafya 4. Watoto wako wamejitegemea. 5. Una shughuli nzuri tu za kujiingizia kipato. 6. Upo radhi ku settle nje ya Tanzania na utajilipia tiketi yako kuja huku...
  4. M

    Taifa limepoteza muelekeo, binti aliyepotea anasakwa na vyombo vya usalama vya nchi mzima huku Dp world wakipigiwa debe kwa nguvu

    Kwa hiyo siku hizi vyombo vya usalama ndani ya kata, wilaya na mkoa haviwezi kufanya majukumu yao? Kwa ishu ndogo kama kupotea mwanafunzi Msukuma amegeuka kuwa mpiga debe wa Dp world Watu wanasahah mambo ya msingi kama kujadili bajeti. Alafu tunaambiwa Mwigulu ni waziri bora hajawahi kutokea.
  5. R

    Je, upo uwezekano mtu mzima above 32 year kuota jino baada ya kung’olewa?

    Habar wadau !!! Nimejaribu pitia majarida kadhaa uko mtandaoni zipo tafiti nyingi zinafanywa na wanasayansi kujua km upo uwezekano wa mtu mzima kuota meno km ilivyo kwa viumbe km papa.mamba nk inasemekana kuwa ili jino liote itahitajika stem cell katika fizi ili ikuwe na kuwa jino zipo...
  6. Rais Samia Asimulia Mchakato Mzima wa Kuhamia Dodoma, Amtaja Kaka wa Nyerere, Mchango wa TANU

    Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza mchakato mzima wa kuhamishia makao makuu ya nchi kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma pamoja na mchakato wa ujenzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma wakati wa uzinduzi wa Ikulu hiyo mkoani Dodoma leo. Rais Samia ameeleza namna mchakato mzima ulivyokuwa wa kidemokrasia...
  7. Askari TANAPA wadaiwa kuwavua nguo wanawake wafugaji na kuwababua kwa mapanga ya moto mwili mzima

    Kuna habari toka bungemi inaeleza kwamba kuna Askari wa TANAPA wamevamia wanachi kwa helicopter kwa madai wapo kwenye hifadhi, ambapo wameporw ng’ombe zaidi ya 200, pia wamepiga raia kiasi cha wengine kuwa mahututi, pia wamefanya ukatili wa kuwavua nguo wanawake hadi uchi wa mnyama, kisha...
  8. K

    Mnaopokea salary take home chini ya milioni moja, huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

    Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakuwa nimefulia hatari. Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima? Tupeane mbinu hizo wakuu.
  9. MWANZA: Aliyefariki wiki chache nyuma akutwa akiwa mzima

    Wakazi wa Kijiji cha Salong’we kilichopo wilayani Magu mkoani Mwanza wamekumbwa na taharuki baada ya mtoto aitwaye Mabilika Wilson aliyefariki na kuzikwa tarehe 17 mwezi huu kupatikana akiwa hai katika Kijiji cha Mwangika wilayani Kwimba mkoani humo. Wilson Bulabo ni baba mzazi wa mtoto huyo...
  10. Naelekea Wizarani kumkabidhi Waziri bodaboda na vyeti ili asote navyo mwezi mzima

    Habari za asubuhi wakuu. Ndo natoka ndani sasa hivi. Naangaza sendo zangu zilipo. Naelekea wizarani kubadilishana kitengo na yule waziri aliyependekeza tujiajiri. Natumai nitakuwa mtumishi wa umma ndani ya ofisi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja Nitamtaka achague moja kati ya haya: (a) Aingie...
  11. Yanga akifungwa leo nipigwe ban mwaka mzima

    Kwa kikosi cha Makolo nilichoona Yanga akifungwa leo yaan YANGA apoteze point tatu leo nipigwe BAN ya Mwaka mzima na faini ya milion moja.
  12. Bora ushamba siwezi kumla papa mzima na nyama yake, hata wakati wa kuvua baharini simgeuzi

    Hello Hello JF katika maisha yangu naogopa kumla papa na nyama yake na ikitokea nikienda kuvua baharini simgeuzi naacha nyavu iamue naogopa sana, wengine kazi ya uvuvi hatujazoea. Papa tumpe Uhuru wake hasa mabawa yake yaendelee kubaki intact pasipo choko choko za wavuvi. Karibuni wavuvi...
  13. Kama ni mzima wa afya mshukuru Mungu, kuna watu wanateseka na maradhi

    Wasalaam ndg, Nianze kwakusema kuna binadam wanateseka na magonjwa ile mbaya analazwa hospital hadi anazoeana na kila mfanyakazi wa hospital kuanzia walinzi, wafanya usafi, manesi na madaktari. Iko hivi last month jumatatu tarehe 20 nilipata ajali maeneo ya Ngunja Mkuranga nikiwa na pikipiki...
  14. Historia yawekwa: Mashabiki wa Yanga wakesha usiku mzima wakiangalia mechi ya kirafiki ya Simba

    Mechi ya marudiano ya Simba vs Raja AC iliyochezwa jana mjini Casablanca ilitegemewa kuwa ni mechi yenye ushindani mkubwa pamoja na kwamba ilikuwa ni mechi ya kirafiki ya kukamilisha ratiba. Pamoja na kwamba timu zote mbili zilicheza kwa tahadhari na kujaribu kutafuta ushindi lakini ile hali ya...
  15. Ufuatao ndiyo mtiriroko wangu mzima wa Matumizi ya Fedha Nono ya Ushindi wa Jukwaa la Michezo JamiiForums

    1. Nitahesabu idadi ya Moderators wote wataokuwepo Ofisini Siku nitakayoenda Kuchukua Zawadi yangu na Wote watakunywa Soda Mpya, Tamu na niipendayo ya Super Commando kutoka Kampuni ya Pepsi. 2. Nitamtolea Mungu (siyo Mungu wa Mwamposa) Sadaka yake ama kwa kuitoa Kanisani au kuwapa Zawadi Watoto...
  16. Nikiwa Dodoma niliwahi kuchakata wanawake mtaa mzima kisa mboga za majani, waume zao wakashikwa wivu wakafyeka bustani yangu usiku

    Wakazi wa Dodoma wana asili ya uvivu,asante JPM kuhamisha serikali Dodoma ili kuwachangamsha hawa watani zangu. Mwaka juzi nilikuwa naishi Dodoma mitaa ya Nkuhungu,nyumba haikuwa na uzio ila kulikuwa na bomba la maji na kisima, nikajingeza kulima bustani ya mboga, chinese, spinach, mchicha...
  17. Mtu mzima dawa

    Kuna umri ukiishafikia hutakiwi kuongea ovyo umri wa kuanzia miaka 55 na kuendelea unatakiwa usiongee vitu kwa kutafuta sifa kwenye jamii au watu waliokuzunguka jitahidi sana kuchunga kauli zako unazozitoa mwisho wa siku utaonekana ni mzee wa hovyo ni heri kijana wa hovyo kuliko mzee wa hovyo
  18. Serikali: Wanaoanza Biashara kutolipa Kodi ya Mapato kwa muda hadi wa mwaka mmoja

    Hello Wadau, Naioongeza Serikali kwa kuchukua uamuzi huu utakaosaidia sana kutatua shida ya ajira na pia kuchochea vijana kujiajiri. Tulikuwa wapi kumpata Rais kama Samia? Mungu ambariki. ==== Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa...
  19. Biashara ya Maji yashamiri jijini Dar es Salaam. Maji yanatoka siku tatu halafu yanakatika mwezi mzima

    Napita Kinyerezi watu na ndoo kichwani. Nauliza vipi naambiwa mara ya mwisho maji yalitoka January hadi Leo tar 5 March 2023 hayajatoka. Maboza yanakimbizana njiani kupelekea watu maji majumbani kwao, nimeuliza wanauza maji shilingi ngapi? Naambiwa wanaanzia kuuza lita 2,000 kwa shilingi 30,000...
  20. Mwanaume mzima unaendeshwa kihisia na mwanamke? Huo ni ujinga wa kiwango cha lami.

    Hivi mwanaume mzima halafu ukiwa kwa masela unajiita wewe ni mwanaume shababu halafu kutwa mapenzi yanakuendesha balaa huo si umbumbu? na ujinga? na ukichaa wa hali ya juu yaani mimi nikiona wanaume wa type hiyo natamani hata kuwapiga makofi hivi unaacha kuwaza pesa unawaza hawa ma slay queen...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…