mzima

  1. BARD AI

    Mtu mzima anatakiwa kutembea hatua 10,000 kila siku

    Kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza nchini, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janab ametoa angalizo kuwa licha ya kuharibu bajeti ya afya kila mwaka, maradhi hayo yataathiri uchumi wa familia na nguvukazi ya Taifa. Profesa Janab ametoa...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mwanamke akikaa mwaka mzima bila kuduu lazima dishi liyumbe

  3. BARD AI

    Utata baada ya Serikali kusitisha uwindaji kwa mwaka mzima

    Katika hali inayoonyesha vita vya kampuni za uwindaji nchini, Serikali imeingia katika lawama ya upotevu wa mapato na kuzisababishia hasara kampuni sita zilizoshinda zabuni ya uwindaji kwa wenyeji na wageni wakazi iliyoendeshwa Agosti, 2021. Taarifa ilizozipata Mwananchi zinaonyesha kampuni...
  4. sky soldier

    Anaenda masomoni mwaka mzima, anunue turubai gani kupunguza gari kupigwa jua na vumbi, vitu gani vya ziada azingatie?

    Hbari wana jf, kuna dogo anaenda masomoni kwa mwaka 1 hivi, mwezi wa tatu alifanikiwa kuagiza gari yake toyota carina ti, ni mpya na kiukweli kaitunza, ataiacha kwake ila sehemu hio iko wazi na jua huwa linapiga je, ni turubai zipi nzuri za kuzuia hii hali? kaniomba aniachie funguo kwajili...
  5. sky soldier

    Nyumba za kupanga, tabia iliyonikera ni Mtu mzima na akili zake anaingia choon na maji nusu jagi Alafu anaenda kushusha zigo la kilo mbili, wewe je ?

    Enzi hizo nasoma chuo nilipanga geto, niliishi nyumb in watu wazima kidogo, Mtu na akili zake anatoka nje na taulo anaenda anaingia choon na maji nusu jagi Alafu anaenda kushusha zigo la kilo mbili .. basi Ukiingia unakuta Choo kimechachawa na kinyesi lundo Kiukweli sikufurahia hiki kitu
  6. sky soldier

    Makabila yatakayoendelea kutegemea elimu iwakomboe kiuchumi(ajira) yatashuka kimaendeleo

    Elimu ni muhimu na wala sio ya kubezwa, Lengo kuu la elimu huwa ni kumkomboa mtu kifikra alafu ndio yanafata mengine, Kwa bahati mbaya hapa nchini jamii nyingi hasa makabila wameigeuza elimu iwe kwajili ya kuwatajirosha kupitia ajira. njia nyingine kama biashara wanapuuza. zamani makabila...
  7. presider

    Natafuta mwanamke Mtu Mzima kuanzia miaka 50 had 70

    Ninatafuta Mwanamke Mtu mzima wa kuwa naye Rafiki na kushauriana mambo mbali mbali ya Maisha. Mimi n kijana wa Miaka 40, Mrefu, Mweusi Mcheshi. Nipo Dar es salaam Tabata. Nitafute kwa kwa 0693 296 809
  8. P

    Kero: Wasafirishaji wa mizigo kupakilia mizigo kwenye makazi ya watu Kariakoo

    Msingi wa shida zote ni serikali za mitaa, na hizi karibu zote zilipita bila kupingwa, Sasa hapa Kariakoo misheni kota yaani utafikiri uko sijui kwenye viwanda vya kutengezea malori, yaani mitaa yote kuanzia Ndanda hadi Muheza, Narun'gombe, Magira, Masasi na Aggrey street hapajulikani ni jiji...
  9. MK254

    Rais Zelensky ajitokeza kuwajibu wanaodai yuko mahututi

    Urusi wanaendelea kuchoka hadi wanamzushia huyu dogo, mwanzo walimpa masaa 24 aondoke Ukraine, wakajaribu kuparamia Kyev ili wamuondoe, wakapigwa za uso na kukimbia, leo hali inazidi kushindikana hadi wakaona waanzishe propaganda kwamba kalazwa. "Today, Russia launched more fake news that the...
  10. Zacht

    Mkuu wa CIA kasema Putin ni mzima wa afya

    Kama mnakumbuka miezi kadhaa iliyopita zilitembea rumors kwamba Putin anaumwa siujui ni kansa, wakasema anaumwa sana anakaribia kukata moto wengine walifika mbali Wakasema ameshakufa tusubiri tu breaking news , tena humu Kuna mdau ndio alikuwa kinara wa kusambaza hizo taarifa huku...
  11. M

    Msimu mzima hadi sasa Messi kapata goli 6 tu!! huko League 1 Ufaransa

    Mchezaji mzuri anapaswa kung'aa kwenye timu yoyote na nchi yoyote. Messi kushindwa kung'aa akiwa na timu ya PSG nchini ufaransa kumethibitisha kuwa Messi yuko over-rated!! Ameishia na keshaanza kuwaza kukimbilia Marekani au uarabuni. Mwenzake CR7 hadi sasa ana magoli 18 na ndiye shujaa wa...
  12. S

    Je ni sahihi kukataa kumtibu mtu kisa ni mtu mzima unayemuheshimu

    Kwa watu wazima rika la mama yako either ni mama wa rafiki zako wakaja hospitali kupata huduma na wakakukuta wewe ,japo na madaktari wengine pia wapo, na matibabu yao yanataka kuwa expose sehemu zao za siri, je ni sahihi kukataa kuwatibu na kuomba daktari mwengine amtibu kwa kigezo cha...
  13. ommytk

    Hivi wamama /wanawake awasadiani siti kwenye bus wakimuona mama mtu mzima au mgonjwa au mwenye mtoto

    Hii nashuhudia mara nyingi tu wakinamama au wadada wakiwa kwenye siti ya bus awawezi kuinuka na kumpisha mtu awe mzee au mama mwenye mtoto au mgonjwa au mwenye mimba utaona wanaume mara nyingi ndio wanafanya hilo sasa nakosaga jibu kwanini inakuwa hivyo
  14. Carnivora

    Ushauri: Nataka kuacha kula wanga kwa mwaka mzima

    Habari wana jamvi. Kijana wenu nikiwa na umri wangu wa miaka 33 kamili, nimedhamiria kwa hiyari yangu mwenyewe, bila kushurutishwa wala kushawishiwa na mtu yeyote; kuacha kula kabisa vyakula vyenge wanga. Vyakula vyenye wanga kwa wingi ni kama mahindi, mpunga, mihogo, viazi, magimbi, ngano...
  15. Chimunguru

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Habari JF Doctor na wana jamii wote. Mdogo wangu wa kiume (23yrs) ana tatizo la kuwashwa mwili mzima tokea mwaka 2002. Nimezunguka naye takribani hospitali zote kubwa hapa Dar lakini hatujafanikiwa kupata ufumbuzi wa tatizo lake. Kwa ufupi ni kwamba alianza tu kuwashwa jichoni, macho...
  16. L

    Kwanini demokrasia ya watu ‘ya mchakato mzima’ ya China inafanya kazi?

    Ni jambo lisilopingika kwamba demokrasia ni thamani inayotafutwa na binadamu wote bila kujali tofauti za tamaduni na mipaka ya nchi, na haiwezi kukiukwa. Lakini kwa sababu za kihistoria, haki ya kutafsiri na kueleza demokrasia imekuwa mikononi mwa nchi za magharibi, ambazo zinaona kuwa ni haki...
  17. N

    Kuna Mbunge nimemsikia mjengoni akiomba Serikali iajiri wanaojitolea. Hii haikubaliki

    Mnaenda kututengenezea mazingira gani? binafsi mimi niseme ni baba wa mtoto mmoja, pia ninatunza familia wazazi wangu wananitegemea mimi, kipindi nimemaliza chuo niliamua kujitolea lakini hali ikawa mbaya nilikuwa napewa elfu 30 kwa mwezi, familia yangu ile na wazazi niwape majukumu...
  18. Numero Uno

    Haji Manara ni mzima kweli?

    Haji manara vipi kuhusu goli la Joash Onyango dhidi ya gwambina? Vili kuhusu folul ya nnje ya box aliyocheza Joash Onyango dhidi ya Tusila Kisinda na mwamuzi akasema ni penati
  19. Idugunde

    Mbunge wa Mbogwe aliyedaiwa kuugua uchizi yu mzima wa afya

    Kwa mujibu wa Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Mbongwe, Mobahe George amesema kuwa, mbunge wa jimbo hilo Nicodemas Maganga ni mzima na yupo mapumziko kwa sasa ndio maana hapatikani hewani na kwamba taarifa zilizoandikwa na gazeti la Jamvi la Habari ni za kupuuzwa hazina ukweli wowote...
  20. Lemaitre

    Karibu tushauriane na kupeana uzoefu wa manunuzi ya chakula kwa ajili ya mwezi mzima

    Habari za jioni wakuu, Binafsi nimekuwa nikipitia changamoto sana nifanyaje au ninunue vyakula gani ambayo vitaweza kunifikisha mwezi mzima. Naombeni uzoefu wenu katika hili, ni nini unazingatia, utaratibu upi unautumia kwenye kufanya manunuzi ya chakula. Ukiweza kusema ni vyakula gani huwa...
Back
Top Bottom