Habarini za muda huu wana jukwaa, mm ni mfugaji mdogo nikiwa najihusisha na ufugaji wa kuku pamoja na bata mzinga ila nimepata changamoto kidogo ya soko la bata mzinga ndio nikaona ni wakati sahihi wa mimi kuja kwenye jukwaa hili kutafuta mtu yoyote atakae hitaji kununua bata hawa, ninao madume...