mzinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. De Professor

    Nahitaji kununua Kanga na Bata Mzinga kwa bei ya Shamba

    Habari zenu wakuu. Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba. Kama wewe unao kimojawapo au unaweza kuniunganisha na wauzaji wa bei ya chini kabisa nipatie...
  2. De Professor

    Nitapata wapi Muuzaji wa Kanga na Bata mzinga kwa Bei ya Shamba?

    Habari zenu wakuu. Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba. Kama wewe unao kimojawapo au unaweza kuniunganisha na wauzaji wa bei ya chini kabisa nipatie tafadhali.
  3. Sakwe

    Kilima Mzinga

    Wasalaam Tanga kunani ,sehemu inaitwa Kilima Mzinga, Tanga huko ni maarufu kwa wachimbaji wadogo wadogo wa dhahabu ila mazingira yale ndio yalinifanya kugundua kuwa kweli Tanzania ni kubwa aise!
  4. Mganguzi

    TFF wanasheria za mkoloni ni mungu watu. Bodi ya Ligi ni kama mzinga wa nyuki. Yanga awamu hii msikubali na kinachoenda kutokea

    TFF na bodi ya ligi wanajificha kwenye kanuni na vijisheria kandamizi. kutisha na kufungia fungia watu hovyo., Hawajui demokrasia na uhuru wa maoni. Siraha Yao ipo kwenye kanuni na fungia fungia. Nenda pale epl, bundersliga, hutaona michezo ya kitoto kama ya viongozi wa bodi sijui kamati ya...
  5. BigTall

    Waziri Mhagama, Waziri wa Ulinzi watembelea watumishi wa Mzinga, watoa neno kuhusu maslahi yao

    Serikali imedhamiria kwa dhati kutatua changamoto za watumishi wa umma katika Shirika la Mzinga lililopo mkoani Morogoro ikiwa ni pamoja na kuboresha maslahi yao. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora, Jenista Mhagama (Mb) aliyefanya ziara ya...
  6. BigTall

    JWTZ: Waziri wa Ulinzi, Dkt Stergomena kwa mara ya kwanza atembelea Shirika la Mzinga

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefanya ziara ya kutembelea Shirika la Mzinga kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Shirika. Akiwa katika ziara yake katika Shirika hilo alipata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali na...
  7. C

    Baraka Mpenja ana mengi ya kujifunza kutoka kwa Gharib Mzinga

    Ukiangalia namna wanavyopangwa Watangazaji wa Azam TV utaona kuwa Baraka Mpenja ndiyo Mtangazaji namba 1 hivyo hupewa mechi nyingi kubwa au zile zenye mvuto. Utaratibu huu pia upo kwenye Channel kubwa za Kimataifa kama Sky Sports, BT Sports pamoja na ITV ( Uingereza) ndiyo maana Peter Drury...
  8. Mes92

    Waliokuwepo kwenye oral ya Mzinga corporation 29/12/2021 Morogoro vipi majibu bado jamani?

    Habarini za mda huu! Waungwana Kuna mwenye taarifa yoyote juu ya ile interview ya Mzinga tujuzane. Maana ni mwezi sasa au huwa wanachukua mda gani kutoa majibu ya oral? Kama Kuna mwenye experience na hizi ajira za utumishi tujuzane
  9. Fred Katulanda

    Fahamu namna ya utegaji Nyuki ili waingie kwenye mzinga

    Kutega Mizinga ili iweze kuingia nyuki ni sehemu ya utalaamu unapaswa kufanyika kwa makini. Wafugaji wapya wengine wamekuwa wakitega bila kupata mafanikio kutokana na kukosa ujuzi, hapa ninawaletea namna ya kufanikisha utegaji na nyuki waweze kuingia ndani ya mzinga. Hatua za kufuata; 1. Chukua...
  10. sisya

    Kampuni ya Mzinga ondoeni walanguzi

    Sisi wenye migodi nje ya ukuta tukihitaji milipuko hapa Mzinga Arusha tunaambiwa hakuna ila ukienda kwa walanguzi ipo na wanatuambia wamechukulia Mzinga. Ni mwezi wa pili sasa kila nikifuatilia naambiwa hakuna. Arusha unaambiwa hakuna ukienda Mirerani Mzinga ipo, na kwakuwa utaratibu wa kutoa...
Back
Top Bottom