Habari zenu wakuu.
Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba.
Kama wewe unao kimojawapo au unaweza kuniunganisha na wauzaji wa bei ya chini kabisa nipatie...
Habari zenu wakuu.
Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba.
Kama wewe unao kimojawapo au unaweza kuniunganisha na wauzaji wa bei ya chini kabisa nipatie tafadhali.
Wasalaam Tanga kunani ,sehemu inaitwa Kilima Mzinga, Tanga huko ni maarufu kwa wachimbaji wadogo wadogo wa dhahabu ila mazingira yale ndio yalinifanya kugundua kuwa kweli Tanzania ni kubwa aise!
TFF na bodi ya ligi wanajificha kwenye kanuni na vijisheria kandamizi. kutisha na kufungia fungia watu hovyo., Hawajui demokrasia na uhuru wa maoni. Siraha Yao ipo kwenye kanuni na fungia fungia.
Nenda pale epl, bundersliga, hutaona michezo ya kitoto kama ya viongozi wa bodi sijui kamati ya...
Serikali imedhamiria kwa dhati kutatua changamoto za watumishi wa umma katika Shirika la Mzinga lililopo mkoani Morogoro ikiwa ni pamoja na kuboresha maslahi yao.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora, Jenista Mhagama (Mb) aliyefanya ziara ya...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefanya ziara ya kutembelea Shirika la Mzinga kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Shirika.
Akiwa katika ziara yake katika Shirika hilo alipata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali na...
Ukiangalia namna wanavyopangwa Watangazaji wa Azam TV utaona kuwa Baraka Mpenja ndiyo Mtangazaji namba 1 hivyo hupewa mechi nyingi kubwa au zile zenye mvuto. Utaratibu huu pia upo kwenye Channel kubwa za Kimataifa kama Sky Sports, BT Sports pamoja na ITV ( Uingereza) ndiyo maana Peter Drury...
Habarini za mda huu!
Waungwana Kuna mwenye taarifa yoyote juu ya ile interview ya Mzinga tujuzane. Maana ni mwezi sasa au huwa wanachukua mda gani kutoa majibu ya oral?
Kama Kuna mwenye experience na hizi ajira za utumishi tujuzane
Kutega Mizinga ili iweze kuingia nyuki ni sehemu ya utalaamu unapaswa kufanyika kwa makini. Wafugaji wapya wengine wamekuwa wakitega bila kupata mafanikio kutokana na kukosa ujuzi, hapa ninawaletea namna ya kufanikisha utegaji na nyuki waweze kuingia ndani ya mzinga.
Hatua za kufuata;
1. Chukua...
Sisi wenye migodi nje ya ukuta tukihitaji milipuko hapa Mzinga Arusha tunaambiwa hakuna ila ukienda kwa walanguzi ipo na wanatuambia wamechukulia Mzinga.
Ni mwezi wa pili sasa kila nikifuatilia naambiwa hakuna.
Arusha unaambiwa hakuna ukienda Mirerani Mzinga ipo, na kwakuwa utaratibu wa kutoa...