Tanzania ni nchi moja katika zinazoangukia kwenye ule ukanda ambao wananchi wake hawana furaha katika nchi zao wenyewe.
Pamoja na sisi ni Uganda, Rwanda, Burundi na Zimbabwe.
Hawa wengine si wenzetu tena: Kenya, Zambia, Malawi au Afrika Kusini.
Itoke wapi furaha kwetu wakati pasipo na uhalali...