Andrew Chenge amejitokeza baada ya kuwepo tetesi za kuhamia chama cha ACT-Wazalendo na kuongelea tetesi hizo zinasombaa kwenye mitandao ya kijamii. Chenge amewashukuru viongozi wa chama cha Mapinduzi kwa heshma waliyompatia tangu 2005 kupeperusha bendera ya CCM kukomboa jimbo kutoka upinzani...
Swala la ubaguzi wa rangi Marekani sio swala linalotokea kwa bahati mbaya. Chuki ya Mzungu dhidi ya mweusi sio tabia/hulka ya mtu. Ubaguzi Marekani unatokana na mfumo wa nchi hiyo, Wabaguzi wa rangi nchini Marekani hawajatokea kwa bahati mbaya bali mfumo ndo umetengeneza watu wa namna hiyo...
BAADA ya kuwepo mjadala mkubwa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu uteuzi na utenguzi wa nafasi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Rais John Magufuli amemaliza mijadala hiyo kwa kuweka bayana kuwa nafasi hiyo, haipo juu ya mamlaka ya mihimili mikuu mitatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.