BAADA ya kuwepo mjadala mkubwa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu uteuzi na utenguzi wa nafasi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Rais John Magufuli amemaliza mijadala hiyo kwa kuweka bayana kuwa nafasi hiyo, haipo juu ya mamlaka ya mihimili mikuu mitatu...