Kati ya vitu vyenye utata duniani KIFO ni kimojawapo. Mpaka sasa duniani kuna mabishano juu ya uhai ni nini ili ikijulikana watu wazuie KIFO.
Na utata juu ya kifo umekuja kwa kuwa watu hawajui uhai ni nini. Je uhai ni pumzi, ubongo, moyo, au nini? Watu wa falsafa nao hawapo nyuma, wanadai uhai...
Watu 33 wa kijiji cha Kazingumu kata ya Namelock wilayani Kiteto mkoani Manyara wamenusurika kifo baada ya kula mzoga wa ng'ombe aliyekuwa anapatiwa matibabu ambapo nyama hiyo walinunua kwa shilingi 2000 kwa kilo badala ya bei ya kawaida ya 8000.
Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mbaraka Al Haji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.