mzozo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Nchi za Magharibi na vyombo vya habari vinashindilia pamoja msumari kwenye mzozo wa Ukraine

    Hassan Zhou Tangu kuzuka kwa mzozo wa Ukraine mwishoni mwa Februari, nchi za magharibi na vyombo vya habari vimeshirikiana kushindilia pamoja msumari na kujaribu kugeuza macho ya watu wanaotaka kujua chanzo cha mzozo huo, na pia kuzipaka matope baadhi ya nchi ambazo zinataka kufikiwa kwa amani...
  2. L

    Afrika haipaswi kuwa mwathirika wa mzozo wa Ukraine

    Kutoka mashirika ya ndege nchini Nigeria, wakulima wa Kenya hadi walaji nchini Malawi, athari mbaya za mzozo wa Ukraine zinaonekana kwa kina barani Afrika. Bei ya mafuta duniani imepanda hadi dola 100 kwa pipa ambayo ni ya juu zaidi katika miaka hii minane tangu mzozo kati ya Russia na Ukraine...
  3. J

    Serikali yatuma maafisa wake Poland na Hungary kunusuru Watanzania waliokwama Ukraine

    Waziri Mulamula amesema Serikali imepeleka maofisa wake katika nchi za Hungury na Poland ili kuratibu safari za wanafunzi waliokwisha vuka mpaka kutokea Ukraine. Kadhalika kuna wanafunzi ambao wameamua kwenda kuishi kwa ndugu na jamaa zao huko Denmark, Slovakia na Sweden. Wanafunzi 11 wako...
  4. Lycaon pictus

    Ni sawa kwa FIFA na UEFA kujiingiza kwenye mzozo wa Russia na Ukraine?

    FIFA na UEFA wamepiga ban vilabu na timu ya taifa ya Urusi kushiriki mashindano yao. Je, hatua kama hii ni sahihi kwa chombo cha kimataifa kinachohubiri neutrality kama FIFA? Mbona hawakuiban Uingereza, Ufaransa, Marekani nk walipokuwa wakivamia nchi ya Libya na zile za mashariki ya kati?
  5. kidadari

    Rais Putin aamuru kikosi maalum cha Nyuklia kuwa katika tahadhari maalum "kiwango cha juu cha tahadhari"

    Rais wa Urusi Vladimir Putin ameamuru jeshi la Urusi kuweka vikosi vyake vya nyuklia katika "tahadhari maalum" - kiwango cha juu cha tahadhari kwa Vikosi vya Kimkakati vya Kombora vya Urusi. Akizungumza na maafisa wakuu wa kijeshi, akiwemo Waziri wa Ulinzi Sergei Shoigu, alisema mataifa ya...
  6. MamaSamia2025

    TALIBAN imezitaka Urusi na Ukraine kutatua mzozo huo kwa njia za amani

    Kundi la Taliban linaloongoza serikali ya Afghanistan limezitaka Russia na Ukraine kumaliza tofauti kwa njia za amani. Hapa chini ni taarifa yake kwa kiswahili (sio rasmi).. "Emirate ya Kiislamu ya Afghanistan inafuatilia kwa karibu hali ya Ukraine na inaelezea wasiwasi wake juu ya uwezekano wa...
  7. S

    Mzozo wa Ukraine: NATO yaanza kupiga jaramba

    Response Force has been activated as a defensive measure in response to Russia's ongoing invasion of Ukraine. NATO Supreme Allied Commander Gen. Tod Wolters activated the multinational force consisting of land, air, sea and special operations forces from the allies that can deploy quickly in...
  8. S

    China yatangaza kuiunga mkono Russia, yailaumu Marekani kusababisha mzozo wa Ukraine, yasema Urusi imelazimika kujilinda

    China imetangaza kuiunga mkono Russia, huku ikiilaumu Marekani kwa kusababisha mzozo wa Ukraine na hata kuvamiwa kwa Ukraine (na Urusi). Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China amesema Marekani imekuwa ikituma silaha za kivita nchini Ukraine, ikatengeneza hali ya hofu na paniki (kwa Urusi...
  9. lee Vladimir cleef

    Marekani Sasa inatia huruma juu ya mzozo wa Ukraine, kauli za Joe Biden ni za kukata tamaa na hofu

    Zifuatazo ni kauli za Joe Biden na viongozi wengine baada ya kuona mzozo wa Ukraine na Urusi ni kina kirefu kwa Marekani kuvuka. 1-Marekani haitapeleka majeshi Ukraine! 2-Raia wa Marekani waondoke Ukraine Sasa! 3-Raia wa Marekani waondoke Ukraine mara moja kwani Marekani haitapeleka majeshi...
  10. MakinikiA

    Mzozo wa Urusi na Ukraine wafukuta zaidi

    Je, vikosi vya Urusi vinajiandaa vita nchini Ukraine? Ni miaka saba tu iliyopita wakati Urusi ilipomega sehemu ya Ukraine na kuwaunga mkono waasi walioanzisha mzozo sehemu kubwa na mashariki. Urusi inasema haina mipango kama hiyo, kwa hivyo ni kipi kinaendelea? Ukraine iko wapi? Ukraine iko...
  11. beth

    ICJ yaiunga mkono Somalia katika mzozo na Kenya

    Uamuzi huo wa Jumanne unafungamanisha kisheria, inagwa mahakala hiyo ya Umoja wa Mataifa haina mamlaka ya utekelezaji. Jopo la majaji 15 likiongozwa na jaji wa Marekani Joan Donoghue lilitoa uamuzi huo katika Peace Palace iliyoko Hague. Kenya ilikuwa inataka, mpaka huo usalie jinsi ulivyo...
  12. Kasomi

    Vita vya Afghanistan: Je, Mzozo huu umeigharimu nini Marekani na washirika wake?

    Pamoja na kuondolewa kwa vikosi vya kigeni nchini Afghanistan na taifa hilo kuchukuliwa na Taliban, tunaangalia ni kiasi gani Marekani na washirika wake wa Nato wametumia katika nchi hiyo kwa miaka 20 ya operesheni za kijeshi. Vikosi gani vilitumwa? Marekani ilivamia mnamo Oktoba 2001...
Back
Top Bottom