Madudu na mawashawasha ya ripoti za CAG nyingi tunasikia ubazilifu mkubwa kila kona pesa ambazo zimetumika vibaya ila cha kushangaza huku mtaani hakuna mwenye pesa kwa wale mimi na wewe.
Kipindi cha jakaya angalau tumeona pesa ilikuwepo na maisha kwenye mzunguko ukilinganisha JPM na Samia...
Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21 ambaye anaingia hedhi kwa siku 7. Siku yake ya hatari ya kubeba mimba inangukia siku ambayo bado yuko kwenye hedhi. Inabidi akutane na mtu wake siku ya hedhi ili mimba iingie. Bila kujua hilo anaweza kumaliza waganga wote akijua yeye ni mgumba.
Credit: Dr. Kala
Wapendwa nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano,
Naomba msaada wenu ndugu zangu , nimebahatika kuuza kaeneo kangu nikapata 10M. Sasa natamani kuizalisha kupitia bidhaa zinazotoka China.
Naomba mnijuze ni bidhaa gani zinatoka haraka sana ambazo sio za bei kubwa, yaani m Tanzania wa kawaida...
Ndugu zangu kuna tatizo gani mzunguko wa fedha umekuwa ni kidogo sana. Biashara haziendi kabisa na kama vile biashara zimesimama kabisa. Kama nchi tunaelekea wapi?.
Utakuwa unafanya makosa yatakayokugharimu sana ukimwona Simba amenyeshewa mvua, ukadhani kuwa amegeuka na kuwa paka! Form is temporary but CLASS is permanent!! Mechi ya mzunguko wa pili tarehe 13/04/2023 itakuwa kiyama kwenu! Simba nguvu moja!
Hayo ya jana tumeyapokea na kuyatupa nyuma na...
Kuna watu roho zimefanya "paaaah!!.😅😂
Bondia wa Peru Dà Silvà Ihelfu ameomba pambano lake na bondia Eduàrdò lifanyike wiki ijayo badala ya mwezi December kama ilivyo pangwa.
kuna watu wameshtuka presha zikapanda ni NHIF sio IHEFU.
timu hiyo ya wafanyakazi ya taasisi wameomba warudiane na timu ya NSSZ ya Zanzibar wiki ijayo.
Ndivyo ilivyo sayansi ina mtindo wa kuadvansiiiiiiiiiii halafu inarudia vya mwanzo.
Teknolojia pia huwa inaboreshwaaaaaa hadi inarudia vya mwanzo mifano;
Tunaanza kwa kuwa na dawa za asili, baadaye viwanda vinaboresha vinaextract vinaunda sindano na vidonge. Watu wanahamia za kisasa halafu...
Tafadhali naomba mwenye Jedwali la Msimamo wa Ligi Kuu yetu ya NBC aniwekee hapa tafadhali ili tujikumbushe na tusisahau au tusijisahaulishe kwa Makusudi.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.
Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi...
Wakuu poleni na purukushani za kujitafutia mkate wa kila siku.
Kwa mwenye kufahamu wapi nikifungua biashara tajwa hapo juu naweza kupata mzunguko mzuri?
Tafadhari share nami location nikapambane mwenzenu, maana hapa nilipo hainilipi kabisa.
Napendekeza iwe mkoa wa Morogoro au Pwani. Hata...
Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi mambo makuu matatu
1. Mzunguko wa damu(ufanyaji kazi mzuri wa moyo)
2. Saikolojia ya mtu
3. Mfumo mzuri ya neva katika ubebaji wa taarifa
Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi ufanyaji kazi wa moyo katika kusafirisha damu ya kutosha kwenye maungo ya mfumo qa...
54 teams are engaged in CL 2023 / 2024.
Accordingly, the 10 highest ranked clubs in the official clubs ranking, shall be exempted of the 1st preliminaryround.The remaining teams are divided into the following: highest ranked teams / less ranked teams / non rankedteams.7 pots have been created...
Utangulizi:
Ufisadi umekuwa tatizo kubwa nchini Tanzania, na umekuwa ukisababisha athari kubwa kwa maendeleo na ustawi wa taifa. Ili kukabiliana na changamoto hii, kuna haja ya kutafuta njia mpya na za ubunifu za kuzuia na kupunguza ufisadi. Moja ya njia muhimu inayoweza kutumika ni matumizi ya...
Mradi wa Barabara ya Mzunguko Mkoani Dodoma una urefu wa Kilometa 112.3 na umegawanyika katika sehemu mbili.
Meneja wa TANROADS Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Leonard Chimagu anasema sehemu ya kwanza ya Mradi huo inaanzia Nala – Veyula - Mtumba hadi Bandari Kavu ya Ihumwa na urefu wake ni Kilometa...
Kuna mahala nimesikia kuwa mlevi huyumba yumba kwa kuwa kasi ya mzunguko wa damu yake huwa kubwa. Hii ni kwa sababu pombe hiyo husababisha mabadiliko hayo
Je, ni kweli kuwa hali ya mlevi kuyumba yumba husababishwa na ongezeko la kasi ya msukumo wa damu? Na sio pombe kuathiri mishipa ya fahamu?
Ningependa kupewa ufafanuzi wa kiuchumi ni hali ipi huwa ina unafuu
A. Mzunguko wa pesa kuwa mdogo ila bei za bidhaa / huduma ni kawaida.
Awamu hii ilisifika kwa msemo maarufu vyuma vimekaza, mzunguko wa pesa ulipungua kwa sababu biashara nyingi zilifufungwa ama kusua sua, hakukuwa na ongezeko...
Kiuhalisia kila kitu kinachotendeka katika maisha yakila siku ni marudio ya maisha yaliyopita, na tayari maisha hayo yamehifadhiwa kwenye maandiko mbalimbali, amini usiamini maswali yako yote uliyonayo sasa majibu yake yako kwenye vitabu, hivyo jaribu kuwa rafiki wa vitabu ujionee maajabu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.