Serikali ya Tanzania haijawahi kuwa serious na kazi zake hata siku moja nimeshangaa sasa utaratibu uliopo hapa Kivukoni Ferry (Dar es Salaam) ukitaka kwenda kupanda Panton kuvuka kwenda Kigamboni.
Kwanza nikiri kuwa utaratibu uliowekwa kutumia kadi (N - Cards) ni hatua nzuri sana lakini hatua...
Habari zenu wakuu. Natumaini mko salama humu jukwaani. Bila kupoteza muda, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Jana nilikutana na mjadala mtandaoni kuhusu uzinduzi wa kadi mpya za mwendokasi, ambapo sasa bila kadi hii huwezi kufanya safari kwenye usafiri wa mwendokasi. Hii imenifikirisha...
Nimelipa Elfu 2 kwenye N-CARD nimwekewa 1900Tsh eti kuna makato ya Tsh 100. Hii inatokea kwa wengine imekubalika pale ferry.
N-Card ni platform ya malipo ya serikali kwa faida ya serikali, lakini kama inanufaisha wengine, kwa kutotoa elimu zaidi ya namna ya kulipia kadi hiyo, au kutofanya...
"Moja ya Makubaliano ya Kisheria tukiingia na hivi Vilabu vya Simba na Yanga katika Matamasha yao ni kutotaja Mapato yao na hiyo Taarifa inayosambaa kuwa Sisi N-Card tumesema Yanga SC imeizidi Simba katika Mapato ya Matamasha yao ni ya Uwongo na ipuuzwe imeandikwa na Waandishi Wahuni" amesema...
Matumizi ya Card kwenye vivuko ni mazuri lakini yamekuja na changamoto ya kuibia wananchi pesa zao kielektronikia!
Nauli ya kivuko ni tsh 200 kwa watembea kwa miguu, na elfu 1500 au 2000 hata zaidi kwa magari!
Pesa hiyo hukatwa unapochanja (scan)!
ZIFUATZO NI BAADHI YA CHANGAMOTO
1. Yapo...
Kufuatilia taarifa ya juzi halmashauri ya wilaya Ubungo ilipotangaza kuwa tiketi za kuingilia getini zilipwe kwa mfumo wa N card kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli kilitekeleza agizo.
Cha kushangaza mifumo waliyo iweka inatia sana ukakasi, kama ifuatavyo.
1. Dirisha la utoaji wa kadi ni moja...
Tangu jana tarehe 20 Februari 2023 serikali imeweka utartibu mpya kwenye kituo cha mabasi cha Kimataifa cha Magufuli Bus Terminal pale Mbezi; ambao kimantiki ni utaratibu mujarabu unaoleta tija kwa jamii. Utaratibu wa kutumia kadi ya kieletronic ya N-Card kwa wananchi wanaoingia ndani.
Mantiki...
Manispaa ya Ubungo, imeanzisha utaratibu mpya wa kuingia na kadi katika stendi ya kimataifa ya mabasi ya Magufuli ili kudhibiti upotevu wa mapato kwa abiria wanaoingia katika kituo hicho kilichopo Mbezi Luis.
Hatua ya matumizi ya N- Card iliyoanza leo Jumatatu Februari 20, 2023 imelenga pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.