na rais

NA-173 (Rahim Yar Khan-V) (این اے-173، رحیم یار خان-5) is a constituency for the National Assembly of Pakistan.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Haya mnaoilaumu TANESCO mmejibiwa na rais Samia

    Lakini pamoja na majibu haya, Biteko atoke. Biteko hafai. Biteko ni tatizo. === FACTS: Rais Samia amezungumza suala la kuwa ukilaumiwa jua unafanya vizuri Desemba 16, 2023, hata hivyo kauli hiyo ilitolewa kuhusu elimu na sio taasisi nyingine za serikali. Alichosema Rais ni "Sio kwenye mitihani...
  2. Chachu Ombara

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango akutana na Rais Samia Ikulu ya Chamwino

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amekutana na Rais Samia Ikulu ya Chamwino katika shughuli ya kupokea hundi ya msaada wa waathirika wa mafuriko ya Hanang ambayo mpaka sasa yamepelekea vifo vya watu 85. Ukimya wa Dkt. Mpango takriban mwezi mmoja ulizua sintofahamu katika mitandao ya kijamii...
  3. Kamanda Asiyechoka

    Lema ulifutiwa makosa na Rais Samia lakini unataka Pauline Gekul ang'ang'aniwe. Tabia za kubebana msipende maana zinaharibu mfumo

    Sitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi. Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema. Lakini rais alimfutia kesi zake zoke. Leo hii yeye analalama Gekuli kubebwa. Huu ni unafiki.👇 === Alichoandika Godbless Lema...
  4. L

    Rais wa Marekani apaswa kuafikiana na Rais wa China ili mkutano wao upate matokeo ya kunufaishana

    Rais wa China Xi Jinping amekutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Marekani Joe Biden kabla ya Mkutano wa Viongozi wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasific (APEC) wa mwaka huu, ambayo yamefuatiliwa sana na jamii ya kimataifa.. Mazungumzo yao yanfanyika kwa wakati sahihi kwa upande wa...
  5. MAGAMBA MATATU

    Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara Nyeti 2025 na Mgombea Urais 2030

    Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri, pili nawasalimu kwa jina la CCM, tatu karibu sana brother, nakutana mara tatu Makonda, Makonda, Makonda, nchi ili kosa mtu mwenye neno lenye maamuzi, na zaidi Mkoa wa Dar ulipoa sana. Narudia, karibu sana Lumumba head office bro. Kuna wakati inatakiwa uwe...
  6. kavulata

    "Try again" amefarijiwa na Rais wa FIFA Infantino. Kiaina

    Mechi ya finali ya African football league kati ya Mamelods na Wydad alifanyika baada ya Simba kucheza na Yanga na Namungo. Salimu Abdullah Try again alihudhuria mechi ya final kule South Africa na kukutana USO kwa USO na Rais wa FIFA huko. Try again amesema infantino alimwambia kuwa kuwa kwenye...
  7. D

    Eti aliyeingiza jezi feki kutoka China analindwa na mtu kutoka juu?

    Sakata la jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Star zenye thamani ya Sh.12 Bilioni zilikamatwa Bandari ya DP World (zamani ikiitwa Bandari ya Dar es salaam). Serikali ikatoa siku 7 mhusika ajulikane na jezi hizo feki kutiwa kiberiti. Hata hivyo zipo taarifa kuwa mhusika wa jezi hizo ambaye ni...
  8. BARD AI

    Kiongozi wa Kijeshi na Rais wa zamani wa Guinea atoroshwa Gerezani

    Waziri wa Sheria, Charles Wright, amesema Moussa Dadis Camara akiwa na Wanajeshi wengine wa ngazi za juu wametoroshwa katika Gereza la Central House walilokuwa wamefungwa ikiwa ni baada ya kutokea majibizano ya Risasi kati ya Jeshi na waliofika kumchukua. Camara na wenzake walifikishwa...
  9. T

    Tulipende Taifa letu na Rais wetu ili Taifa lipate Baraka za Mungu

    Leo nazungumzia upendo kwa Taifa pamoja Rais wetu. Nilazima Taifa letu kwanza ndio iwe ibada yetu sisi wa Tanzania na jambo la pili ni Rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano na yule wa Zanzibar. Jamani tuwapende mambo mazuri yatatokea napenda kuwakumbusha tupunguze midomo na Tupunguze maneno mengi...
  10. Roving Journalist

    Rais Samia akutana na Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe, Ikulu ya Dodoma, leo Oktoba 20, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye...
  11. B

    Tanzania iliwahi kuwa na Rais jiwe kweli kweli

    Nchi yetu iliwahi kuwa na kiongozi mahiri kweli kweli. Walikuwepo kabla yake, wakaja baada yake, na huenda watakuja na wengine, lakini itatuchukua muda mrefu sana kumpata kiongozi mwenye kaliba ya Hayati JPM.
  12. M

    Hivi ni kweli hawa mawaziri wanakuwa wameagizwa na Rais au wanatudanganya!

    Kama siyo wote baadhi ya mawaziri na hata wakuu wa mikoa na WA wilaya utawasikia wanapotekeleza majukumu Yao hujinasibu kwamba mheshimiwa Rais amewapa agizo la kutekeleza jambo Fulani. Waziri wa ardhi mheshimiwa Silaa alipokuwa mkoani Katavi katika ziara ya katibu mkuu wa CCM Chongolo alisema...
  13. R

    Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

    Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku...
  14. K

    Kati ya Waziri January Makamba na Rais Samia, nani alimteua Maharage kuwa Mkurugenzi Tanesco?

    Salam wakuu. Naomba kwanza kupandisha clip ya January Makamba akiwa Waziri wa Nishati na pia kuweka barua ya Ikulu ya teuzi. Baada ya kumsikiliza January Makamba na kurejea barua ya Ikulu, je ni nani haswa alihusika na anahusika na hizi teuzi zinazotangazwa kutoka Ikulu? Kwa sasa tumeona...
  15. R

    Je, Mwenyekiti wa Bunge la Katiba 2014 na Rais wa sasa, ni watu wawili Tofauti?

    Itakumbukwa kuwa, kabla ya zoezi la kukusanya maoni ya Katiba chini ya Warioba, Katiba hii ya 1977 ilitolewa copy na kugawiwa Kwa wananchi tuisome na kuelimishana vijiweni masokoni na sehemu mbalimbali na zoezi hili lilifanikiwa vizuri!! Kutuambia turudi Kuelimishwa tena na watu watu wale wale...
  16. Mganguzi

    CHADEMA ndio chama kinachopendelewa zaidi na Rais Samia, lakini hawana adabu!

    CHADEMA wanasema Rais jana kawananga wao lakini ukweli ni kwamba CHADEMA ndio chama ambacho Rais Samia amekipa upendeleo sana. CHADEMA walipewa nafasi ya kusikilizwa binafsi, walikuwa na mazungumzo yao pekee na wakapewa Kinana, viongozi wao ndio waliokaribishwa na Rais Ikulu mara nyingi zaidi...
  17. benzemah

    Picha: Rais Samia Afanya Mazungumzo na Rais wa China, Xi Jinping Kwenye Mkutano wa BRICS

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa China Mhe. Xi Jinping kando ya Mkutano wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.
  18. Suley2019

    SI KWELI Bibi na Bwana wameondolewa katika nembo ya taifa inayotumika kwenye Podium ya Rais Samia

    Salaaam Wakuu, Nimeona katika sehemu mbalimbali picha zikisambaa zikionesha nembo inayotumika kwenye Podium ya Rais Samia haina bibi na bwana kama ambayo alikuwa anaitumia Rais Magufuli. Hili limekaaje Wakuu tunaomba ufafanuzi. Nembo anayotumia Rais Samia ikiwa haina Bibi na Bwana Nembo...
  19. GENTAMYCINE

    Tamko la CCM nitaliamini 100% endapo tu Mwenyekiti wake Taifa na Rais Samia atakuja na uthubutu ufuatao

    Mimi Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM Taifa natangaza rasmi hapa kuwa sitaki nyie akina Kitenge, Zembwela, Pindi Chana, UVCCM Wote, Rais Mstaafu Kikwete na Wengineo wote Mjipendekeze Kwangu kwani siwahitaji na hakuna ambacho huwa nawatuma mkiseme bali ni Kuwashwawashwa Kwenu tu mkidhani...
  20. PakiJinja

    Mapinduzi ya Niger: Bunge la Seneti laikataa hatua ya kijeshi, laionya ECOWAS na rais Tinubu

    Bunge la Seneti limeomba Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, Rais Bola Tinubu na viongozi wengine wa eneo hilo kuchukua tahadhari wanaposhughulikia mkwamo wa kisiasa nchini Niger baada ya kuondolewa kwa utawala uliochaguliwa kidemokrasia wa Mohamed Bazoum...
Back
Top Bottom