na wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Ni biashara Gani ulianza na pesa kidogo na inakulipia bills zote,saidia na wengine πŸ€”πŸ™β€

    Wakuu,haya tuambieni Ni biashara Gani ulianza na pesa kidogo na inakulipia bills zote,saidia na wengine πŸ€”πŸ™β€
  2. Jiulize ni kwanini Jordan na wengine wamekataa kupokea wakimbizi wa Palestine

    Wapalestina wa buza na kitambaa cheupe mna habari? Taarifa ni kuwa Jordan, Egypt, Syria, Lebanon, Iraq, Saudi Arabia and Kuwait wamekataa kuwapokea wakimbizi wa palestine. Kumbukeni nchi hizi ni jamii moja huku wakishare dini moja na itikadi moja. Sasa leo wamewakimbia kama hawawajui. Issue...
  3. L

    Mchengerwa amsimamisha kazi Mganga mkuu Sumbawanga Manispaa

    Mchengerwa amsimamisha kazi Mganga mkuu sumbawanga Manispaa na wengine. Akiwamo Engineer na Afisa Manunuzi kwa matumizi mabaya ya pesa za miradi. ===== Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amemuelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI kuwasimamisha kazi aliyekuwa Mganga Mkuu wa Manispaa...
  4. Uislamu uheshimiwe kuanzia ndani, kabla ya kuheshimiwa na wengine

    Amani iwe nanyi Ndugu zangu Waamini wa dini ya Kiislamu. Pokeeni Salamu kutoka kwa Ndugu wa Imani ya Mungu mmoja kwa muongozo wa Injili Takatifu na Mjumbe wake Yesu Kristo. Mimi ni shuhuda wa wazi wa Imani yenu kwa sababu, Uungwana wenu umenipa fursa ya kuijua imani yenu Takatifu na kujifunza...
  5. Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

    Habari ndugu wana JF, Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa. Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki...
  6. T

    Ni Watanzania wanaopinga na wengine kuukubali mkataba, mjadara usiwe ni Dini zinatofautina!

    Mali zote za nchi hii ni zetu sote watanzania bila kujali dini zetu Hakuna mwenye haki zaidi ya mwingine kwenye Mibaraka ya Mungu juu ya nchi yetu Tanganyika Tunaweza kutofautiana kwenye Imani, lakini hiyo haiondoi Utanzania wetu Hatuna nchi nyingine zaidi ya hii tuliyopo sasa, sote ni...
  7. FISTULA inatibika na kupona kabisa bila gharama/bure!

    Kuna hili tatizo linalopata wanawake wakati wa kujifungua hasa wale waliopata Uzazi pingamizi na kuwafanya washindwe kuzuia haja (kubwa na ndogo). Tatizo hilo linatibika na Kupona kabisa na huduma hii kwa sasa inatolewa bure kabisa. Kama mgojwa yupo kijijini na akawa hana nauli ya kwenda...
  8. Kama ilivyokuwa kwa Membe kutokudhuria pia Bashiru, mke wa Magufuli na wengine wengi hawajahudhuria

    Membe hakupata kuhudhuria wala kumlilia Magufuli kwenye kifo chake jambo ambalo mke wa Magufuli naye hajafanya kuhusu kifo cha Membe. Ikumbukwe, wanazi wote wa upande wa Membe hawakuhudhuria ima ibada ama kuagwa kwa JPM vivyo hivyo wanazi wa JPM ukimwondoa (double agent Makonda)...
  9. Hivi ni kwanini Waafrika wengi wana akili ndogo na wengine hawana akili kabisa?

    Nilishaongea sana na sasa naona kazi kurudia . Icheki hii video fupi hapo chini uone jinsi akili za Mwafrika huyu na ma bodyguards wake Mimi ni Mtanzania ila simjui huyu kijana I mean sio maarufu sana, sio potential sana kwamba anaweza kuvamiwa akitembea mchana maeneo ya wazi hasa pahali...
  10. Duniani wawili wawili; Hawa ndio mastaa wanaofanana hapa Bongo

    1. Ally Kamwe na Privaldinho 2. Beka Flava na Mayele Ongeza na wako.
  11. Kwanini Uking'atwa na mbu panawasha na wengine hawawashwi?

    Wana JF! Naombeni kujua kwanini Kuna mtu aking'atwa na mbu anawashwa na mwingine hawashwi..??
  12. Bashe kaonyesha njia kwenye kilimo kwa kuweka vitalu vya kilimo na kuwapatia vijana, wizara ya ujenzi, nishati, na wengine wafuate.

    Wizara ya ujenzi inaweza kuandaa mkakati wa kuibua wakandarasi wadogo, hasa wanaomaliza vyuo na kuwa na uzoefu ambao wataona unafaa. Wawatake kuunda kampuni, na wawape kipaumbele Cha tenda za ujenzi za kiwango fulani wakati wakikua kama kampuni. Kampuni hizo ziorodheshwe, na iwe sharti kuzipa...
  13. DR Congo: Watu sita wafariki Dunia na wengine kadhaa hawajulikani walipo baada ya boti kuzama Ziwa Kivu

    Takriban watu sita wamefariki dunia, na wengine kadhaa hawajulikani walipo, baada ya boti kuzama katika upepo mkali Ziwa Kivu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Boti hiyo ilikuwa imesheheni wafanyabiashara na bidhaa zao zikitoka Mugote katika mkoa wa Kivu Kusini kuelekea Goma, mji...
  14. C

    Kwanini wazazi huwa na upendeleo kwa baadhi ya watoto na wengine hubaguliwa?

    Kwema WanaJF, Huwa najiuliza kwa nini inatokeaga hivi, mfano kwenye familia yetu hii ipo sana kuna watoto pendwa hawawezi lala njaa hata kama hawana hela wanapewa na ni watu wazima na familia zao ila kwa wengine hata ukiomba elfu tano tu hupewi, unashinda njaa daily, mwenzio anaweza pewa mpaka...
  15. Uganda: Watu tisa wafariki huku wengine wakijeruhiwa kutokana na mkanyagano

    Watu tisa wamefariki dunia, wengine kadhaa kujeruhiwa katika mkanyagano uliotokea jana usiku nje ya Mall ya Freedom City mjini Kampala wakati wa kukaribisha mwaka mpya.
  16. H

    Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza

    Habari Wakuu Binafsi nimejikuta nikiingia na mahusiano na mke wa mtu lakini ilikuaje? Nilijikuta ninampenda binti mmoja kwa mara ya kwanza nilivyomuona nikamwiita na nikaongea nae na akanipa namba yake ya Simu.Baada ya hapo tukawa tunachat bila kujua mazingira yake yakoje, kuchat tukajikuta...
  17. Basi la Modern Coast latumbukia mtoni, mmoja afariki na wengine kujeruhiwa

    Mtu mmoja amefariki huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya basi la Modern Coast kutumbukia kwenye mto Masosa kwenye makutano ya Makutano mjini Kisii. Kamanda wa Polisi wa Kisii Central Amos Ambasa amesema gari hilo lenye nambari za usajili T247 DKE lilikuwa likielekea Homa Bay kutoka...
  18. Umesoma vitabu gani mwaka 2022 na wengine tuvisome?

    Habarini. Mwaka umeisha na ni wakati wa kujitathmini usomaji wetu na kuhabarishana juu ya vitabu tulivyosoma. Hii ni njia nzuri ya kujua vitabu vizuri vya kusoma. Binafsi nimesoma vitabu vifuatavyo, wewe umesoma vitabu gani? 1. The storm before the storm: Kitabu kizuri sana hiki, kinazungumzia...
  19. Hivi ni mimi tu au na wengine mnapitia ninayoyaona

    Nipo likizo yapata wiki moja, ila nilisafiri kutoka kwangu kuja kwa huyu mzazi wangu. Likizo imekuwa chungu natamani tu nirudi nyumbani kwangu kabla ya muda, kutwa nashinda naongea nampa ushauri namuelekeza kuna baadhi ya mambo naona kabisa anaharibu lakini ni mbishi kwelikweli. Kazi kwelikweli!
  20. Miezi ya wengine kuvuna na wengine kupoteza

    Mwezi wa kumi na mbili (December) na mwezi wa kwanza (January), ni miezi inayofanya jamii kutumia pesa sana na upande wa pili kunufaika sana. Kwenye nyumba za ibada huwa ni msimu wa mavuno, huku upande wa pili ukiwa ni kugharamia (kutoa/kupoteza). Kwenye majengo ya starehe, mapato yanaongezeka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…