na wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Richard

    Kwanini Tanzania tu mtu anakuwa hana woga wa kusema mitandaoni?

    Nimesikitishwa sana na tabia ya baadhi ya watanzania kuonyesha uwezo mkubwa wa kutabiri vifo, kuvifuatilia vitokepo na kusema sababu ni UVIKO-19 na kadhalika. Ni juzi tu tumeondokewa na aliekuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias Kwandikwa. Haijaelezwa kinaga ubaga kuhusu kifo...
  2. R

    #COVID19 Askofu Gwajima, Hutaki Kuchanja Nakuelewa, Lakini Kwanini Unashawishi na Wengine Wasichanje?

    Kwa muda mrefu sasa Askofu Gwama ametangaza wazi wazi kwamba hataki kuchanja chanjo ya Corona, ninamuelewa kwani ni haki yake binafsi kukataa, maana chanjo ni hiari. Mahali ambapo simuelewi ni pale anapofanya kampeni ya makusudi, ya waziwazi, tena kwa kutumia lugha kali sana kuwashawishi na...
  3. Petro E. Mselewa

    #COVID19 Ifike mahali Askofu Gwajima na wengine wa jinsi yake wadhibitiwe kiserikali na kichama kuhusu chanjo ya UVIKO-19

    Serikali yetu imekata shauri la kuleta na kutoa chanjo ya UVIKO kwa watanzania/wananchi wake. Imeweka wazi kabisa kuwa chanjo ipo na ni ya HIARI. Yaani, mtanzania atakayeridhia kuchanjwa atachanjwa. Msimamo wa Serikali ni msimamo wetu watanzania. Serikali ni yetu na inatupasa kuiheshimu na...
  4. Youth Worker Tanzania

    SoC01 Nenda Sia, kila nikikumbuka nasimulia na wengine nawasaidia (Stori ya kweli)

    Sia ni binti ambaye wakati Fulani tuliwahi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi,Japokuwa ndio kwanza tulikuwa tumetoka masomoni kwa kuhitimu kidato cha sita.Si jina lake halisi ,Lakini naamini litafanikisha kufikisha ujumbe niliokusudia. Hatukudumu sana hasa baada ya matokeo kutoka na kila mmoja...
  5. Prof Koboko

    Lengai ole Sabaya akutwa na ukwasi wa Tsh. Bilioni 3 baada ya kupekuliwa

    Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti kongwe la RAIA MWEMA ni kwamba aliyekua mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Ole Sabaya anaogelea kwenye mabilioni ya shilingi. Kazipataje hizi pesa wakati yeye ni mwajiriwa wa serikali? Ni biashara gani ya wazi Sabaya anafanya tusaidiane? Eti mnaita huyo...
  6. J

    Aliyehujumu mkutano wa Injili wa nabii Mwamposa hadi watu wakakanyagana na wengine kufa anakaribia kujulikana!

    Ilikuwa ni pale Moshi ambapo mashuhuda walidai wakati wanakimbilia getini ili watoke nje kuna watu waliwazuia na walipoanguka chini walipigwa mateke na makofi. Muhujumu wa mkutano ule wa Injili yu mbioni kuumbuka. Eid Mubarak!
  7. jingalao

    Ujumbe kwa bunge: Legacy ya Nyerere na Magufuli ni tofauti na wengine

    Ni vyema tukaweka kumbumbu sawa. Unapoongelea legacy usioongelee kijuujuu au kimasihara. Katika nchi hii tunaweza kuongelea legacies mbili muhimu. Yaani legacy ya Mwalimu Nyerere iliyotuwekea maono na miongozo baada ya Uhuru. Halafu tutaongelea legacy ya Magufuli katika utekelezaji wa maono na...
  8. M

    Tafadhali mliowaelewa TCRA na sababu zao walizotoa kuhusu bei za 'Vifurushi' katika Ukurasa wa 3 Gazeti la The Citizen la leo mtueleweshe na wengine

    Kila kukicha tu 'Maajabu' mengi yanagundulika nchini Tanzania na huenda nchi yetu ikawa imebarikiwa Kimaajabu hadi Raia wake ni wa ajabu. Tanzania ndiyo nchi pekee duniani ambayo Makampuni ya Simu yanaweza Kupandisha bei za 'Vifurushi' haraka, ila katika Kuvishusha wanachelewa. TCRA hongereni...
  9. Soma Vitabu Tanzania

    Uzi Maalumu wa Vitabu vya maendeleo binafsi (Personal Development)

    Jukumu letu kubwa ni kuwa bora leo zaidi ya tulivyokuwa jana. Njia pekee ya kuwa bora ni kujifunza kupitia usomaji wa vitabu. Vipo vitabu vya aina nyingi ambavyo vinaweza kukupa maarifa mbalimbali. Lakini vitabu vya maendeleo binafsi (personal development) vinakupa maarifa, mbinu na hamasa ya...
  10. F

    Mama Samia na wengine wote wamevaa Barakoa

  11. B

    Makosa aliyoyafanya Humphrey Polepole yasijirudie tena na wengine walioasisi nafasi yake

    Humphrey Polepole alifanya kazi nzuri sana ila alipokosea ni pale alipotaka kuonyesha kuwa kazi yake kwenye chama ni kubwa na ana uwezo mkubwa wa kukifikisha chama sehem ya juu, alitoa wazo ambalo viongozi wake wa juu ukimtoa mwenyekiti wake wa chama hakushirikishwa, hao viongozi wake wa juu...
  12. U

    Mtu mmoja afariki na wengine wapo mahututi baada ya kula mzoga wa nguruwe pori

    Katavi. Katarina Zebedayo (38) mkazi wa kijiji cha Kabanga Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika amefariki dunia huku watu wengine wanane wakilazwa baada ya kula nyama ya mzoga wa nguruwe pori. Akizungumza leo Jumamosi Desemba 12, 2020 kamanda wa polisi Mkoa wa Katavi, Benjamin Kuzaga amesema...
  13. FrankLutazamba

    Pendekezo: Wananchi wachague Wabunge, Madiwani ila Rais achaguliwe na Bunge

    Nimewaza na kuona bora Rais awe anachaguliwa na bunge kwa sababu wabunge wanajuana zaidi na hakutakuwa na malalamiko wala hofu ya amani kuvunjika. Hapo ndio majimboni kutakuwa na siasa ya kukata na shoka,hii ni kwa sababu nawaonea huruma wagombea urais wanafanya kazi kubwa kuzunguka nchi nzima...
  14. FrankLutazamba

    Serikali yetu sikivu ya Rais Magufuli ninaiomba iwalipe fidia wenye ulemavu wa ngozi(Albino),Waliokatwa mikono yote na wengine mmoja na mguu...

    Kama serikali pendwa imewakumbuka wasanii waliotutoka mfano Steve Kanumba(Bongo Movies)aliyepewa milioni 20,mzee Majuto(Vichekesho)Milioni 50,na wengine,basi tunaiomba iwakumbuke na wenye ulemavu wa ngozi(albino)waliovamiwa na kukatwa mikono yote miwili bila hatia,sasa wanalelewa na masista, Ni...
  15. J

    Tuambiwe ukweli, Kassim Hanga, Abdulaziz Twala na wengine wote wamelala wapi? Halafu tusameheane

    Unaweza kushangaa kwanini nimeileta hoja hii upande wa jukwaa la HISTORIA, wakati ni jambo lililozungumzwa ktk mkutano wa kampeni za uchaguzi. Kati ya mwaka 1964 na 71,Khassim Hanga, Idris Abdalah Majura, Abdul Aziz Twala, Mdungi Ussi, Saleh Sadalah, Jaha Ubwa, Juma Ringo, Othman Sharif, na...
  16. Kurzweil

    Takriban watu 10 wameuawa na wengine makumi kujeruhiwa baada ya kutokea kwa shambulio Kusini mwa Nchi ya Ufilipino

    Takriban watu 10 wameuawa na wengine makumi kujeruhiwa baada ya kutokea kwa shambulio kusini mwa nchi ya Ufilipino. Shambulio hili limetekelezwa katika eneo la Jolo ambalo wakazi wake wengi ni waumini wa dini ya Kiislamu ambako vikosi vya Serikali vinapambana dhidi ya Kikundi cha Waasi cha Abu...
  17. MKATA KIU

    Kwanini Mo mwenye hisa 49% Simba atoe bilion 20 na wengine wenye hisa 51% hawatoi hela yeyote

    Swali kwa wana Simba na wengineo: Uwekezaji wa simba Mo anamiliki 49%, wanachama wengine wa simba wanamiliki 51%. Why bilioni 20 ya Mo Dewji tu ndio inakomaliwa iwekwe? Na kwa nini wanachama wengine wamiliki wa 51% hawaulizwi bilion 22 wao wanaziweka lini? Naona kama mo ananyonywa vile...
  18. Miss Zomboko

    Kassim Majaliwa: Wanasiasa waeleze yale watakayoyafanya kwenye kampeni na sio kubeza yaliyofanywa na wengine

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu mara kampeni za uchaguzi mkuu zitakapofunguliwa ili kuepuka vurugu zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani nchini. Akizungumza katika ibada ya siku kuu Eid Al Adha Jijini Dar es Salaam, Majaliwa amesema kuwa ni...
  19. T

    Watumishi wa Umma waliotia nia kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa kukatwa mshahara wa mwezi Julai

    Haijulikani sababu ni zipi zimeletekeza watumishi wa Umma ndiyo kuwa wengi katika kutia nia kuliko wafanyabishara na wafanyakazi wa Sekta Binafsi. Kuna wengine ambao waajiri wao wamegoma kuwapitishi ruhusa. Kuna wengine kwa kuona mizengwe ya viongozi wao kuhusu kuomba ruhusa wameamua kuondoka...
  20. Suley2019

    Walinzi nane na wengine 12 wafikishwa Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu Uchumi

    WALINZI nane wa Kampuni ya Ulinzi ya Security Group ya Afrika (SGA) Tanzania Ltd na wenzao 12 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka matatu likiwemo shtaka la wizi na utakatishaji fedha wa zaidi ya Sh bilioni mbili mali ya NMB...
Back
Top Bottom