na wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kauli ya Mzee Makamba ni kitisho kwa Rais na wengine wote ambao hawatakuwa wema "Kwao"

    Hutokufa (nani alisema Rais atakufa? Je alishatishiwa na sasa anahakikishiwa kuwa asiwe na shaka hatokufa?) Mtu mbaya kwa akina nani ndiye ambaye ataishi? Mtu mwema kwa akina nani ndiye wanachagua aishi? Kauli hii si ndogo ni kauli ambayo anafikisha ujumbe kwa watu flani. Kuwa kuna watu au...
  2. B

    Kutokuungwa mkono Bashiru, Polepole, Ndugai na wengine, tujitathmini

    Haki ni haki bila kujali maslahi binafsi ya awaye yote. Kwa bahati mbaya tumekuwa wabinafsi tusiotaka kuwa sehemu ya kupigania haki hizo. Tumekuwa kama wapenzi watazamaji wengine wanapojaribu kuuwasha moto. Imekuwa fulani kasema hivi, fulani kasema vile. Sisi tumesema nini fulani anaposema la...
  3. Nyumba nyingi zinatelekezwa na wababa kisa akina mama. Hii ni baada kumsikiliza baba yake kijana Majaliwa, baba Dimpozi n.k

    Nyumba nyingi wazazi wa kiume ama kina baba wanazikimbia na kuwaacha watoto kisa kikubwa inaonesha ni kina mama, hii ni baada kujitokeza mara nyingi wazazi wa kiume baada vijana wao kupata maendeleo flani mifano michache ni kama huyu kijana shujaa Majaliwa na watu maarufu kama Dimpoz na Diamond...
  4. Somalia: Watu 100 wauawa kwenye mlipuko wa mabomu ya kutegwa kwenye magari

    Rais wa Somalia amesema kuwa takriban watu 100 waliuawa katika mashambulio mawili ya mabomu yaliyofanywa kwenye barabara kuu ya Mogadishu na idadi ya vifo huenda ikaongezeka. Katika taarifa yake, Rais Hassan Sheikh Mohamud akiwa katika eneo la milipuko amewaambia waandishi wa habari kwamba watu...
  5. P

    Asili yetu waafrika ni nini? Mbona ni watu wa ajabu na hatuonyeshi ikiwa tunauwezo wa kuwakomboa watu wetu?

    Tuko tayari kupandishwa kwenye bas na wazungu tukienda kwao, Ila sisi hatuko tayari kupunguza na kuacha uagizaji wa magari ya kifahari yanayokula kodi nyingi za watu wetu Ukiacha wazungu na wenye asili ya Kiyahudi, tuliobaki ni binadamu tuliotokana na nini? Mbona siamini nikionacho baada ya...
  6. Tetesi: Ripoti za uchunguzi wa uhalali wa shahada ya uzamivu (PhD) ya hayati Magufuli pamoja na wengine zimefichwa

    Nilimtembelea rafiki yangu mmoja ambaye ni mhadhiri pale Udsm na katikati ya maongezi likaja suala la uwezekano wa mtu kupata PhD bila kupitia taratibu sahihi. Hapo akasema kuna uchunguzi ulifanyika karibu mwaka mzima umepita na ripoti imeishia pale utawala. Ilikuwa ni katika routine ya kawaida...
  7. China sio super power ni Mandonga wa kimataifa. Bibi katua na hakuna kitu wanafanya. Hizi ni salaam kwa Putin na wengine fyokofyoko

    Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina. USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele. Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma. Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake...
  8. B

    Kwa rushwa ilivyotamalaki, PCCB na wengine wa hivyo wana umuhimu gani kuendelea kuwapo?

    Nilileta uzi huu: Aibu! Boda ya Rusumo Mgeni haingii nchini bila rushwa Nimetembelea boda nyingine mkoani Kagera, kote ni mwendo mdundo! Watu wanakula kwa urefu wa kamba zao. Hata hivyo wapi au idara ipi yenye ahueni? Polisi? Wapelelezi, trafiki nk? Rushwa si ni sehemu ya malipo yao halali...
  9. Rais Samia, asema kuna mabadiliko makubwa zaidi yanafuata, ameanza na Jeshi la Polisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule wafuatao: 1. Inspekta Jenerali CAMILLUS MWONGOSO WAMBURA, kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) 2. Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (GP) SIMON NYAKORO SIRRO, kuwa Balozi Wa Tanzania Nchini Zimbabwe 3. Balozi...
  10. Kheri ya Kumbukizi ya siku yaKuzaliwa Kwangu na wengine waliozaliwa tarehe kama ya leo.

    Leo ni July 15, Ni kumbukukizi ya siku ya kuzaliwa kwangu. Naomba Nichukue sekunde zako chache Tuwatakie wote waliozaliwa terehe kama ya leo kheri na fanaka tele katika maisha yao!
  11. Kwanini utawala wa Nyerere ulikumbwa na misukosuko mingi ukilinganisha na utawala wa Mwinyi, Mkapa na wengine?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salamu, ningependa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu watanzania, baba yetu wa Taifa mwl Julius K Nyerere aliiongoza nchi yetu kwa muda wa miaka 25. Kwa muda wote huo wa uongozi wake, nchi yetu ilikumbwa na misuko suko mingi ambayo haikuja...
  12. Kubana kwa matumizi kungeanza na Rais mwenyewe. Haiwezekani yeye asafiri na wengine wasisafiri. Aongoze kwa vitendo, si double standard

    Mheshimiwa Rais Safari zake zimekuwa nyingi sana tujifunze kwa wenzetu walioendelea viongozi wao hawasafiri hovyohovyo safari zao huwa ni za kimkakati Sasa Rais wetu anaposafiri safiri kila Mara hasara ni nyingi kuliko faida Just imagine Rais ana mabalozi ana mawaziri wa wizara husika yeye...
  13. Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

    Salaam Wakuu, Kuna picha zinazoonesha Wananchi wa Tanzania Jamii ya Wamasai wakiwa na majeraha. Haijajulikana picha zimepigwa wapi saa ngapi. Naamini Vyombo vya Usalama vitatolea ufafanuzi ili kuondoa taharuki katika Jamii. MY TAKE: Damu ya Mtu haiendi bure. Pia soma: Wamasai Ngorongoro...
  14. Rais anafanya maamuzi tu, ila taarifa za kuamua anapewa na wengine

    Kwa wale wanaodhani Magufuli alikuwa pekee wafikirie tena. Asilimia kubwa ya maamuzi yake ni report tu alizokuwa anasoma na kuamua kutokana na option anazopewa. Nape, Mwigulu na Makamba; eleweni vita mnavyonunua sio na marehemu bali watu waliohai. Kibaya zaidi hiyo vita kapewa mtu ambae...
  15. S

    Luhaga Mpina kama kina Bashe, Polepole na wengine, anatafuta uteuzi tu

    Huo ndio ukweli mchungu kwani huwezi kuwa mzalendo na mwenye uchungu na nchi hii halafu ukawa mwana-CCM isipokuwa Nyerere, mtu kama Sokoine na wengine wachache sana. Wengi huko ni wasaka fursa, fursa ambazo huwezi kuzipata ukiwa upinzani na wengine wako katika hicho chama ili wabaki salama...
  16. B

    ACT Wazalendo kama CHADEMA na wengine pia wanataka Katiba Mpya

    Amesikika Abdul Nondo katika kipindi cha Medani za Siasa Star TV kwa niaba ya ACT, kwamba hata wao wanataka mno katiba mpya. Pamoja na tofauti zilizopo yumkini Chadema au NCCR au CUF na ACT wanaweza kufikia hatima inayoweza kutuletea sote raha. Ikumbukwe umoja ni nguvu. Bila kusahau adui yetu...
  17. B

    Nimevutiwa na mpango wa CHADEMA wakukusanya rasilimali na kuboresha makazi ya akina Lingwenya, Azory na wengine wanaougulia machungu

    Nimefanikiwa kukutana kijiweni na baadhi ya viongozi wa Bavicha wakiwa Mwanza nakujadiliana nao kuhusu mikakati Yao ya muda mfupi katika eneo la kusaidia jamiii wakasema wanalo wazo soon litamature na Kuanza utejelezaji. Mawazo Yao yamejikita kufanya haya Kwa jamiii 1. Familia ya Azory GWANDA...
  18. Yaliyomkuta Magufuli kwa kinana, Nape, January na Wengine mama angefanyaje?

    Nawaza tu kama spika ameongea tena hadharani, akiwa katika mhimili unaoruhusu kufanya ivo. Je Samia angewafanya nini Nape, January, Kinana nk. ndani ya chama kwa sauti zilizovuja wakiunanga utawala wake kwa mfano?
  19. B

    Lissu, Maria na Wengine Ulinzi Uimarishwe

    Baada ya kupata wasaa wa kutosha kuzisikiliza hoja zote kutoka Maria Space aliyojumuika pia Mh. CJ: Jaji Mkuu alijumuika Maria Space Dec.20 Yafuatao ni maoni yangu: 1. Kwa weledi, ufahamu na kujitoa kwake, Mh. Lissu ni mtu muhimu sana kwa nchi hii. 2. Maria Sarungi kwa uwezeshaji wake ni...
  20. N

    Kimenuka huko morocco:kocha msaidizi na wengine wawili waacha kazi uto

    Taarifa kutoka Morocco zinasema kwamba kocha msaidizi wa Yanga Sighr Hamad amevunja mkataba na klabu hiyo na hatakuwa sehemu ya benchi la ufundi kwa msimu ujao. Mbali na kocha msaidizi lakini pia mtaalamu wa mazoezi ya viungo Jawad Sabri na daktari wa viungo Fareed Cassem kwa sababu mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…