Unaweza kushangaa kwanini nimeileta hoja hii upande wa jukwaa la HISTORIA, wakati ni jambo lililozungumzwa ktk mkutano wa kampeni za uchaguzi.
Kati ya mwaka 1964 na 71,Khassim Hanga, Idris Abdalah Majura, Abdul Aziz Twala, Mdungi Ussi, Saleh Sadalah, Jaha Ubwa, Juma Ringo, Othman Sharif, na...