UZI HUU SIO WA KIDINI LICHA YA KWAMBA IMETUMIKA MIFANO KUTOKA KWENYE VITABU VYA DINI, HIVYO NAOMBA USIPELWKWE KWENYE JUKWAA LA DINI.
Waislamuini Korani na Wakristo wanaiamini Biblia, wote wanaungana katika hili simulizi moja la mwanzo wa mwanadamu. Wote wanakiri kuumbwa kwa Adamu, wanakiri...