Katika muendelezo wangu wa kuwasakama watani zangu Wapare, leo nitamtambulisha mpare mmoja aliyekuwa kiboko ya wapare wenzie.
Mpare huyu alijiita Nabii Elia (Eliya) wa upareni.
Mtu huyu alikuwa ni wa kutokea pande za Usangi ila akahamia Same Kisiawani kwenye Milima pembeni ya njia ya...