nachingwea

Nachingwea is a district in the Lindi Region of Tanzania. The district is bordered to the north by the Ruangwa District, to the east by the Lindi Rural District, to the south-east by the Mtwara Region, and to the south-west by the Ruvuma Region.
According to the 2002 national census, the Nachingwea District had a population of 162,081.The district has a hospital, a teacher's training college, a secondary school, four primary schools, a nursery school, and a day care centre. Nachingwea Airport and an army barracks also are in the district. The district was one of the centres for the groundnut scheme in the 1950s.The Nachingwea Medal is named after this place.

View More On Wikipedia.org
  1. Debby the FEMINIST

    Nachingwea: Viongozi wa Serikali na Wachimbaji washirikiana kutorosha pesa za mgodi

    Zaidi ya shilingi milioni 901 zimekusanywa na serikali kuu kupitia mrabaha na ada ya ukaguzi katika mgodi wa madini ya shaba uliopo katika kijiji cha Nditi wilayani Nachingwea. Hayo yamesemwa na afisa madini mkazi Iddy Msikozi alipokuwa akisoma taarifa ya makusanyo tangu Septemba 28, 2022 hadi...
  2. Peter Madukwa

    Nachingwea, Lindi: Waziri Mkuu Majaliwa awapongeza wananchi wa Nachingwea kwa ujenzi wa shule maalum ya sekondari kwa mapato ya ndani

    Nachingwea; Lindi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majalilwa Majaliwa katika mwendelezo wa Ziara yake Mkoa wa Lindi ameweka jiwe la Msingi katika shule maalum ya sekondari ya wavulana Nachingwea inayojengwa katika kijiji cha Chiumbati nje kidogo ya mji wa Nachingwea...
  3. J

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) yapania kuongeza thamani ya ubora wa viwango vya korosho na bidhaa zitokanazo na korosho wilayani Nachingwea

    SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) YAPANIA KUONGEZA THAMANI YA UBORA WA VIWANGO VYA KOROSHO NA BIDHAA ZITOKANAZO NA KOROSHO WILAYANI NACHINGWEA Na Mwandishi wetu Nachingwea Shirika la Viwango Tanzania (TBS) leo Tarehe 16 Septemba, 2021 wanatoa mafunzo kwa Wajasiriamali na Wasindikaji na...
  4. J

    TBS yatoa somo juu ya madhara ya vipodozi vyenye viambata sumu

    Na Mwandishi Wetu, Nachingwea WATUMISHI wa umma katika taasisi mbalimbali wilayani Nachingwea mkoani Lindi, wamepatiwa elimu kuhusu madhara ya matumizi ya bidhaa hafifu hususani vipodozi ambavyo vimekatazwa kutumika nchini kutokana na kuwa na viambata sumu. Mafunzo hayo kwa watumishi wa umma...
  5. Peter Madukwa

    NACHINGWEA: Mwenge wa uhuru wazindua, kutembelea na kuzindua miradi sita (6) wilayani Nachingwea

    Tarehe 25.8.2021 Mwenge wa Uhuru umetembelea, kuzindua na kuweka jiwe la msingi jumla ya miradi sita katika wilaya ya Nachingwea mkoa wa Lindi. Miradi iliyozinduliwa ni pamoja na mradi wa maji katika kijiji cha Namikango, mradi wa wodi ya wazazi ya kisasa katika hospitali ya wilaya na mradi wa...
  6. Erythrocyte

    Operesheni Haki, Lindi: Wananchi Nachingwea wasimamisha msafara wa Freeman Mbowe, waomba neno la matumaini

    Mwamba Mbowe pamoja na Umwamba wake leo amegonga mwamba huko Nachingwea baada ya wananchi kulala barabarani wakilazimisha awasalimie. Ikumbukwe kwamba Mwamba Mbowe au Mtemi Isike yuko Kanda ya Kusini kwenye kampeni ya Operesheni Haki yenye lengo la kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume...
  7. Peter Madukwa

    Group la WhatsApp latumika kuchangisha mifuko 300 ya saruji ya ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Nachingwea Boys

    Baadhi ya wananchi wa Nachingwea ambao wapo ktk kundi sogozi la WhatsApp la NACHINGWEA YETU, wamekabidhi mifuko 300 ya saruji kuunga mkono ujenzi wa mradi mpya wa Nachingwea boys high school inayojengwa kwa kutumia mapato ya ndani ya halmashauri ya wilaya ya Nachingwea iliyopo mkoa wa Lindi...
  8. Roving Journalist

    Lindi: TAKUKURU yawafikisha Mahakamani Wafanyabiashara wa Nachingwea kwa Kuuza Viuatilifu visivyosajiliwa

    Mkuu wa TAKUKURU (M) LINDI Mhandisi Abnery J. Mganga akitoa taarifa kwa umma kuhusu kuwafikisha mahakamani wafanyabiashara watatu (3) ambao ni: 1. Bw. Abdallah Said Luyaya, Mfanyabiashara na mmiliki wa duka la pembejeo liitwalo LUYAYA KILIMO KWANZA lililopo Wilaya ya Nachingwea 2. Bw. Ismail...
  9. Peter Madukwa

    Mahakama yamwachia huru aliyekuwa mgombea ubunge katika jimbo la Nachingwea, Dkt. Mahadhi Mmoto na wenzake 11

    Mahakama ya Makimu Mkazi Lindi, imewafutia mashtaka yaliyokuwa yakiwakabili aliyekuwa mgombea ubunge ktk jimbo la Nachingwea, Dkt. Mahadhi Yusuph Mmoto na wafuasi wake 11 wa CHADEMA ambao walikamatwa wakati wa uchaguzi mwezi Oktoba 2020 kwa kuhusishwa na vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi...
  10. Miss Zomboko

    Nachingwea: Mwalimu Mkuu na Afisa Elimu wapewa siku 3 kujieleza kwa kukwamisha ujenzi wa Bweni tangu 2017

    Naibu waziri wa ofisi ya Rais TAMISEMI David Silinde amewaagiza kuandika maelezo ndani ya siku tatu mkuu wa shule ya sekondari ya Nachingwea Mwalimu Longinus Nambole na Afisa elimu sekondari ya kwanini wasichukuliwe hatua za kinidhamu baada ya kushindwa kusimamia mradi wa ujenzi wa bweni la...
  11. Debby the FEMINIST

    Lindi: Watumia mafuta ya Mil 7 kwa siku 4 na kununua pikipiki 2 kwa mil 11

    Mkuu wa wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi Hashim Komba ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU wilayani humo kufanya uchunguzi wa matumizi mabaya ya fedha kiasi cha shilingi milioni 18 zilizotumika kwenye mradi wa Usafi na Mazingira (WASH) wilayani humo ambapo ni Ununuzi wa...
  12. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Mgombea Mwenza Salum Mwalimu aendelea na kampeni Nachingwea

    Akiwa kwenye kampeni zinazoendelea ambapo ratiba ya Leo imempeleka Lindi na Ruvuma , amehutubia mkutano mkubwa sana wa kampeni Nachingwea , ambapo amewaomba wananchi wajitokeze kwa wingi kupiga kura na wamchague Tundu Lissu kuwa Rais wa awamu ya 6
  13. Ukana Shilungo

    Tetesi: Hassan Elias Masala aliyeshinda kura za maoni na kukatwa Nachingwea mikononi Mwa Polisi

    Heshima kwenu. Huyu jamaa yupo kituo cha polisi toka 10:30 jioni . Kosa au maelezo anayochukuliwa ni la kutotimiza ahadi ya Bajaji kwa kwa Mzee Kambanga, ambaye alipata ajali na kukatwa Mguu 2015 akiwa anashangilia ushindi wa masala 2015. Mzee Kambanga alipata ajali wakati...
  14. A

    Una ufahamu gani juu ya Shamba 17 (Farm 17) la Wilaya ya Nachingwea?

    Hamjambo? Mimi ni raia wa Msumbiji na ninafanya utafiti kuhusu asili ya Shamba 17 la Wilaya ya Nachingwea. Ninaelewa kuwa baada ya Vita vya Pili vya Dunia, Uingereza ilitenga Shamba 17, ikiwa moja ya mashamba 21 (au, 20 kulingana na vyanzo vingine), kwa wapiganaji wastaafu wa vita hivyo ambao...
Back
Top Bottom