nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Katiba inatakiwa ifanyiwe marekebisho ya kumpokonya/kumnyima nguvu ya uteuzi baadhi ya nafasi

    Naona ipo haja ya baadhi ya nyadhifa kutofunganishwa na siasa, binafsi ningependa rais, waziri na wabunge tu ndiyo wangefaa kuchaguliwa na watumishi waliobakia watokane na michakato ya uchaguzi wa sifa. naibu waziri,waziri,madc na marc hii nguvu ingepokonywa pamoja na uteuzi wa wakurugenzi na...
  2. Simba ya msimu huu ni mbovu kuliko ya msimu uliopita, tukijitahidi sana nafasi ya 7

    Hii ndio simba mbovu kuwahi kuishihudia kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni ,timu ni nzito ,washambuliaji hawaeleweki ,wings ni butuabutua tu ,mwaka huu tumekwisha kabisa
  3. B

    Kwani nini vijana wa field tunanyimwa nafasi ya kufanya kazi katika faculty zetu . Especially sheria

    Hello, ladies and gentlemen wa jamii forum , Kama uzi unavojielezea hapo juu . Nina live example . Mimi ni mwanafunzi wa sheria, Jumatatu nilipeleka barua ya field katika mahakama ya wilaya X hawakuipokea wakaniambia nafasi zimejaa katafute sehemu zingine na kunirudishia barua yangu ...
  4. G

    Wachezaji wa kigeni Yanga wamechukua nafasi nyingi sana za wazawa, patakalika kweli?

    Wachezaji wa Nje Waliojihakikishia Namba CHADRACK BOKA AZIZ KI CHAMA PACOME ZOUZOUA DUKE ABUYA YAO KOUASSI PRINCE DUBE BALEKE DIARRA AUCHO MAX Wachezaji wa Tanzania Waliojihakikishia Namba MUDATHIR YAHAYA CLEMENT MZIZE ANDAMBWILE JOB MWAMNYETO BACCA
  5. T

    Wabongo tuko nyuma sana kwenye Customer Services, kibaya Hatuko serious na Kazi kabisa. Acha Wakenya wachukue nafasi zetu

    Basi leo mchana saa nane nikasema niende nikapate msosi kwenye hoteli moja kubwa na mpya hapa jiji la masamaki. Naingia tu nakutana na wahudumu wanne wamekaa, mteja alikuwa mmoja. Mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo: Mimi: "Chakula kiko tayari?" Muhudumu: "Sijajua ngoja nikaulizie kama kiko...
  6. Nafasi za Masomo - Ualimu (mkoani Rukwa)

    NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2024/2024 KATIKA CHUO CHA UALIMU RUKWA NA CHUO CHA USIMAMIZI WA BIASHARA RUKWA. Mnakaribishwa kujiunga na vyuo vyetu vilivyopo mkoa wa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga Mjini. Kwa maelekezo zaidi unaweza piga: 0754426882
  7. Mtacheza tena na Coast kugombea ile ile nafasi yenu ya tatu

    Wanetu mjue kesho asubuhi mnatakiwa kuwahi Lupaso kufanya usafi kwa sababu Jumapili tunataka kupigi Ndiki na Wauza ukwaju, japo na nyie mtausunda kidogo Uwanja mkicheza Fainali yenu ya LAWI CUP nane kamili mchana wa jua kali la Utosi 😂 Utofauti Ulianzia Hapa… Mfadhili Wenu: Naomba...
  8. Ulanzi umeingia kwenye mfumo, gongo nayo ipate nafasi ya kurasimishwa

    Ulanzi na pombe maarufu ya ndizi kama "banana wine" nazo ni wine? Ninavyofahamu wine inatengenezwa kwa zabibu tu. Hongera kwa huyu mzee kupaki ULANZI katika hali ya kisasa. Watengeneza gongo nao wapate fursa kama hii.
  9. M

    Mambo mengine utayaelewa siku ukiwa muhusika, kwa sasa utaona kama vile hawajui kutumia vizuri nafasi zao

    Inawezekana kuna watu unawaona wa ajabu sana, unaona kama ungepewa uhusika wao basi ungefanikiwa ndani ya dakika moja 😊 Inawezekana ikawa kweli wapo kwenye nafasi wasizojua kuzitumia vyema au ikawa sio kama uonavyo ukiwa sio muhusika. Kuna watu wakikusimulia utaona kama vile wanakutisha hivi...
  10. Pre GE2025 Nani apeperushe bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya Urais 2025?

    Nani apeperushe bendera ya Chadema Kwa nafasi ya Urais mwakani 2025
  11. CCM achaneni na wahuni wapita njia wapeni nafasi wafia chama mmnawakatisha tamaa sana

    CCM ni chama kikubwa na kikongwe hakiwezi kuwa chama cha kitegemea wahamiaji waganga njaa toka upinzani ili kukisemea. Hao no waganga njaa wamekuja kula walivyoyelea jasho wanaccm kindakindaki. Mnawaumiza sana mnapowapuuza na kuwapa majukwaa na vyeo wale waliokuwa wakiwatukana majuzi tu hapo...
  12. Nafasi za kazi: Fitter Mechanics and Welder/Fabricator

    Mwenye uhitaji akuje PM, msharaha 700,000 per month. Ratiba ya kazi ni siku 14 on and 7 days off, after 2 months of probation period. Tayari tumewapata, Mudi naomba mfunge huu uzi tafadhali.
  13. W

    Natafuta nafasi ya kazi ya kuajiriwa au kujitolea. Nina Stashahada ya Uhasibu

    Habari zenu, Mimi ni kijana mwenye elimu ya Stashahada ya Uhasibu. Ninatafuta nafasi ya kazi ya kujitolea au kuajiriwa ofisi yoyote ndani ya Tanzania. Namba yangu: 0759285908
  14. U

    Ni kweli walikaacha kachanga hako hai na kwenda Nako hukoo juu? Kaliishi miaka laki 6, baadaye kaliasi na kutupwa chini na ndiyo anasumbua Dunia?!

    Wadau hamjamboni nyote? Huwa sipendi kuhoji Imani za watu wengine kwani Kila mtu ana Imani yake nahivyo huwa namheshimu Hata hivyo Leo nimeona nihoji japo kwa uzuri tuu. Kwamba waliagizwa na bosi wao kuua wazazi, Ndugu na jamas zake wote japo wengineo walifanikiwa kutorokea baharini...
  15. Nafasi za Kazi ya IT Technician na Marketing Staff

  16. Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani

    Hii Taarifa ina ukweli gani? Hiyo hata ningekuwa mimi, Mtu kaita Waganga wote kutoka Rufiji waje wamzindike halafu uendelee kushangaa, labda kama hujitaki === Ally Shaban Kamwe baada ya kuhudumu kwa misimu miwili kama Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC ,leo ameandika barua...
  17. Nafasi za Kazi Accountant na Admin Officer Wanahitajika

    Habari Anahitajika Accountant na Administration Officer, wenye uzoefu usiopungua Miaka 2. Mkoa: Dodoma Tuma CV yako: hrfbde@gmail.com
  18. Hoja: Tuna Imani na Ali Kamwe kuliko Haji Manara kwa Nafasi ya Msemaji wa Klabu ya Yanga SC

    Katika nyakati za hivi karibuni, Yanga SC imekuwa ikipitia mabadiliko makubwa katika nafasi ya msemaji wa klabu. Baada ya kufungiwa kwa Haji Manara na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), nafasi yake ilichukuliwa na Ali Kamwe. Tunaamini kwamba Ali Kamwe ni chaguo bora zaidi...
  19. Nafasi ya kazi kwa graduates wa Computer Engineering, Telecommunications Eng, Computer Science

    Kampuni mojawapo jijini Mwanza inahitaji watu wenye qualifications tajwa hapo juu. Kama unafit karibu inbox.
  20. Natafuta nafasi ya Kujitolea

    Na tafuta sehemu ya kujitolea kwenye NGO yoyote. Nipo Dar es Salaam nimesoma Project Planning and Community Development. CVkwa ufupi Age 25 Place dar es salaam Experience. Biko sales Nom 0672885858 Email tylorchriss43@gmail.com
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…