KITABU CHA BIUBWA: KARUME, BIUBWA NA BARUA YA ENGEN
Kitabu "Mwanamke Mwanamapinduzi," kinachohadithia maisha ya Biubwa Amour Zahor ni, "thriller," katika viwango vya James Bond.
Zuhura Yunus mwandishi wa kitabu hiki kaifanyia hisani kubwa historia ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964...