nafikiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Nafikiri nilikosea kusoma degree ningeishia form four

    Nna miaka 30 kuna mtu pia ana miaka 33. WOte wamemaliza degree 2017/19 hawa watu wanapiga mishe za hapa na pale mitaani (vibarua) wakisubiri ajira za ualimu waajiriwe. Kuna jamaangu mmoja leo kaamka kapita kunisalimia agongee chai akaanza hoja, Dah maisha sijui nliyakosea wapi. Yani mishe...
  2. Eli Cohen

    Uraibu ndio source kubwa ya utajiri wa kupindukia.

    Pesa ya mtu anaekuja kwako at least siku tano ndani ya wiki ya maisha yake maana asipokuja hapo anajisikia kufa kufa, ni pesa zilizotajirisha watu sana. Maana mtu akishakuwa na uraibu wa vifuatavyo atatumia pesa nyingi sanaaaaa: Ku-bet Mitungi Mikasi Dope Fast Food Social media Makampuni ya...
  3. Eli Cohen

    Kongole kwa huyu mwanadada alieimba wimbo wa watu feki. Ana aina fulani hivi ya style yake ya kipekee na pia muziki wake ni very touching

    Tatizo ni kuwa wabongo tutamtupilia mbali kwa maana haimbi nyimbo zile "paka yangu imeloa, sijui kugonoka, gonokaa" She is a very a talented girl kiukweli. Sauti yake, idea yake ya muziki, na zaidi melody yake https://youtu.be/LAzyvbTyN94?si=UL7j6a8UxkGAquwu
  4. Okoth p'Bitek

    Ergo cognito sum, nafikiri mimi ni...

    Thinking being, hebu jiheshimu, be noble Ni vipi unaweza kujifikiri na ukawa yule unayefikiri kuwa?! Nafikiri mimi ni mtu wa watu, mcheshi, sina makuu, sifa zote za kikristo nipe mimi niliye ndani ya huu mwili, na ninakuwa ninachofikiri kuwa, is it even necessary for the subject to exercise...
  5. Financial Analyst

    Nafikiri kati ya mwaka 2005- 2013 ni wakati ambao ulikuwa mgumu kwa wasanii wa muziki Tanzania

    Ni wakati ambao wasanii tena hawakutegemea hard copies ili kuuza albamu, kaseti zilikuwa zimepigwa chini, Computer zimeingia mtaani watu wana bani CD tu. Yani muziki wa bongo ulikuwa katika dillema, yani jamaa walibaki kama show off tu Ni wakati ambo wasanii waliingia kwenye game kipindi hicho...
  6. Mindyou

    LGE2024 Kada wa CCM: Kama mtu atakuwa hajaenda kuchagua au kuchaguliwa basi hata kwa Mwenyezi Mungu atakuwa hajatenda haki

    Wakuu, Hivi karibuni nimeona video moja ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Makambako, Hanana Mfikwa akizungumzia kutumia viongozi wa dini kuwahamasisha wananchi kwenda kupiga kura. Mfikwa alisema kuwa viongozi wa dini watumie ushawishi "kuwaelimisha" wananchi kuhusu kushiriki kwenye...
  7. Eli Cohen

    Nafikiri hivi ndivyo mambo yatakavyo kuwa kama ikitokea kwa asilimia kubwa ulimwengu ukawa chini ya influence ya Russia, China, Iran na marafiki zao

    GEOGRAPHICALLY North Korea atamvamia South Korea ili kutengeneza Korea ya Mamlaka yao China itazichukua Taiwan na Hong Kong kwa asilimia 100. Russia atamchukua Ukraine, Georgia na vinchi vidogo vidogo vya ulaya vile ambavyo vilikuwa chini ya USSR. Iran atamtoa muisrael huku akitengeneza nchi...
  8. G

    Nafikiri Israel Itapotezea kulipa Kisasi kwa Iran mpaka imalizane na Hizbola kwanza. Iran itawekwa kiporo kama Hizbola wakati wanashambulia Hamas

    Wakati Israel inashambulia magaidi wa Hamas na Hizbola ilianza kushambulia Israel ili ipoteze lengo Lakini wakaawacha tangu October 7 Hadi juzi zamu yao ilipofika Ayatollah akae Kwa kutulia asubiri zamu yake INGAwa Nia na nguvu ya kupigwa ilikuwepo sababu ndo ilikuwa inatafutwa Kwa Sasa sababu...
  9. Mi mi

    EMPIRE OF DUST: Hii nafikiri ni filamu nzuri yenye funzo, kuna jambo mchina akielezea kutuhusu sisi waafrika kupitia Congo

    Tunaweza sote kuitafuta hii filamu. Kupitia video clip niliyoona imenivutia kutaka kujua kiundani zaidi. Hapa mchina akitoa somo fupi kwa huyu mkongo na kwa kiasi kikubwa somo hili ni picha yetu sote waafrika tunafanana mambo sio kongo wala sio Tanzania au Uganda na ni picha halisi ya wachina...
  10. Z

    Nafikiri Darwin aliudanganya ulimwengu nao ukadanganyika

    Darwin proposed that species can change over time, that new species come from pre-existing species, and that all species share a common ancestor. In this model, each species has its own unique set of heritable (genetic) differences from the common ancestor, which have accumulated gradually over...
  11. Eli Cohen

    Nafikiri Hawa Rappers 20 wa Bongo ndio bora kwa muda wote

    20: Roma Mkatoliki 19: King Crazy GK 18: Inspector Haroun/Babu 17: Chid Benz 16: Joh Makini 15: Langa 14: AY/MASTA 13: Mwana FA/Binamu 12: Nick Mbishi 11: Faza Nelly 10: Ngwair/Mangwair/CowBama 9: Jay Moe/Mo Famous 8: Solo Thang 7: Balozi Do La Soul 6: KBC 5: Saigon 4: Afande...
  12. Eli Cohen

    Nafikiri hizi nyimbo 20 za rap ya Bongo ndizo bora kwa muda wote

    20: Chid Benz - Bongo Dar es Saalam 19: FA - Bado Nipo Nipo 18: Fid Q - Propaganda 17: AY and FA - Habari Ndiyo Hio 16: Piggy Black - Nini Mnataka Mazee 15: AY - Raha Tu 14: Professor J - Hapo Sawa 13: Balozi -Kwenye Chati 12: Sugu - Wananiita Sugu 11: Professor J - Nikusaidiaje 10...
  13. Fanton Mahal

    Nafikiri hii ndiyo sababu ya matajiri kuitwa katili wasiyo na utu

    Habari wanajukwaa, Heri ya Kwaresma kwa ndugu zangu wakristo. Ramadham Kareem kwa ndugu zangu waislam. Kama ilivyo kwa wengi, katika harakati za upambanaji unajikuta una team up na wadau kadhaa katika kujaribu kuona ni namna gani mnaweza mkayafikia malengo kwa ukubwa, haraka na unafuu. BAsi...
  14. Balqior

    Nafikiri miaka 100 ijayo taasisi ya ndoa haitakuwepo kabisa

    Hi, Kwasababu ya huu utandawazi wa internet, redpill movement, mgtow, mambo ya LGBTQ, udangaji, atheism, umaskini na unemployment wanaume wengi watachelewa kuoa, wanawake watazidi kuona suluhisho ni kudanga, wanaume wataona wanawake wote ni wadangaji, hata wakioana, muunganiko wa moyoni...
  15. R

    Nafikiri tatizo la Chid Benz linaanzia kwa mama yake pia

    Wasalaam. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema nimeona interview ya mama yake Chid Benz na Clouds tv kwenye kipindi cha Shajara. Huyu mama kwakweli yeye mwenyewe hajakubali kama mwanaye ana shida yaani hana Imani kabisa kwamba Chid ana shida. Hii inaweza kupelekea Chid asipate unafuu...
  16. MK254

    Wajumbe wa 300 UN walazimika kutazama video za HAMAS, nafikiri sasa makelele yatapungua, kichapo kiendele

    Wajumbe 300 wa Umoja wa Mataifa wamelazimika kutazama unyama uliofanywa na HAMAS na kilichosababisha Gaza ichezee kichapo, ni video zilizokua zinachukuliwa na HAMAS wenyewe kwa walivyo wapumbavu, inapaswa zisambazwe kote kote duniani, ili makelele yapungue na kuipa Israel fursa ya kuendeleza...
  17. Phobia

    Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

    Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea...
  18. D

    Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

    Wakuu Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa Huyu mchumba wangu...
  19. Lycaon pictus

    Katika hili, nafikiri marehemu Ruge hakuwa mstaarabu

    Ruge Mutahaba kafanya mambo makubwa sana nchi hii. Hilo halina ubishi. Ila kuna dark side. Kitendo cha kutoka na binti aliyekuwa anamlea kimuziki, huku akizaa na mfanyakazi wa chini yake kilikuwa ni doa sana. Inaonyesha mazingira ya kuexploit watu kingono. Ingekuwa huko majuu mambo kama hayo...
  20. Lycaon pictus

    Nafikiri CHADEMA wana kila haki na ruzuku inayotokana na wabunge wao 19

    Wabunge wale wa viti maalumu hawajatokana na juhudi zao wenyewe. Wametokana na kura alizopata Tundu Lissu. Na kura hizo ni nguvu na jasho la CHADEMA. Haita ingia akilini kwa wabunge wale kufikiri kwamba wanaisaidia CDM ikipata ruzuku kupitia ubunge wao. Ruzuku hiyo ni haki halali ya CHADEMA...
Back
Top Bottom