nafikiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee Wa Republican

    Nimevutiwa sana na Subaru Impreza, nafikiri itanifaa kwa matumizi yangu kwa sasa

    Ndugu wananchi, Salaam za upendo wa dhati ziwafikie huko mlipo. Kwa siku za karibuni nimekutana na marafiki kadhaa wakimiliki magari mbalimbali. Kuna mmoja anamiliki Toyota Crown Athlete, mwingine Crown Royal, na mmoja wa Subaru Impreza. Katika magari yote hayo nimetokea kuvutiwa sana na...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    "Chanzo" kilindwe au kiharibiwe

    "CHANZO" KILINDWE AU KIHARIBIWE. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Hekima hii isomwe na watu wote wapendao ufahamu. Iwajenge pale walipobomoka, iwaimarishe pale walipodhoofika. Nayo isionekane naliandika kujipatia utukufu, Isipokuwa kutimiza kusudi. NIITE Taikon wa Fasihi, Mwana kutoka Nyota ya...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    IGP Sirro ni mjanja, nafikiri kesi ya Sabaya unaleta matokeo chanya kwa wenye Mamlaka

    Herehoa! Kesi inayomkabili Sebaya vyovyote itakavyoisha, iwe Kwa kushinda Kwake au kushindwa kwake lakini imetoa funzo kubwa Kwa wenye mamlaka hasa Wale wanaopewa Amri na kuifuata. Katika maelezo ya Sebaya, alisema kuwa mambo aliyokuwa anayafanya alikuwa akiagizwa na wakubwa wake. Hata hivyo...
  4. Red Giant

    Watanzania tulikubali suala la tozo mpya za miamala halafu leo tunaanza kulalamika!

    Wabunge ni wawakilishi wetu. Tumewapeleka wakaisimamie serikali kwa niaba yetu. Kama wawakilishi wetu wamekubali maana yake tunaowakilishwa tumekubali. Kama hawa wawakilishi wameenda kukubali kitu ambacho hatujawatuma, tuwalalamikie wao na kuwawajibisha na si serikali. Zaidi ya hapo tutulie.
  5. Fisher_8

    Nafikiri kubadili jina; nitawavunjia heshima wazazi nikifanya hivyo?

    Salamu kwenu, Hivi wakuu itakuwa nawavunjia heshima wazazi nikiamua kubadili jina? Mzee alikwishaga tangulia mbele za haki, kabaki mama tu. Kipindi cha zamani hata wakati baba yupo mama aliwahi nigusia kuwa jina nililopewa yeye wala alikuwa hakilipenda ila ni vile mzee alishalipangaga hata...
  6. C

    Ajira kugawanywa bara na visiwani, nafikiri kuna tatizo

    Ajira kugawanywa bara na visiwani nafikiri sana kuwa ingefaa ajira zipatikane kupitia taratibu za ushindani, bila kujali mtu anatoka wapi, iwe kwa taasisi za umma, serikali ya JMT, iwe kwa ajira kwenye vyombo vya usalama. Ni nini kimepelekea kubadili mfumo wa ajira? Kama watu wa upande mmoja...
Back
Top Bottom