TANESCO wawe wawazi kuwa kuna mgao wa umeme unaoendelea hapa nchini kwa hivi sasa. Pengine itakuwa ni jambo jema zaidi kama ingetoa ratiba ya mgao huu ili watu waweze kujipanga zaidi kutokana na athari zinazojitokeza.
Tumeshuhudia busara kubwa iliyofanyika kupitia taarifa iliyotolewa na...
Spika Job Ndugai amehoji tatizo la kukatika kwa umeme nchini na kuitaka kamati ya nishati kukutana haraka na bodi ya mpya ya Tanesco ili kuwaeleza kazi kubwa iliyoko mbele yao.
Sakata hilo liliibuliwa na mbunge wa Kilombero mh Abukary Assenga aliyetaka kujua ni kwa nini Tanesco wanakata umeme...
Mara nyingi ukiona manaibu Waziri waliokuwa wamekaa kimya wanajitokeza na kutoa press Basi nidalili za kuamsha dude wasijeonekana wamepwaya.
Unakumbuka mjadala mkubwa unaoendelea mitandaoni baada ya kuteuliwa kwa mbunge stagomena Tax Ni juu ya mabadiliko ya baraza la Mawaziri.
Kipindi chote...
"Nazijua Siasa za ndani na nje ya Tanzania pengine kuliko Wanasiasa wengi nchini na nimezipractise in black and white nje ndani hivyo hakuna wa Kunidanganya"
Chanzo: Radio One Promo ya Kipindi cha dakika 45 cha Jumatatu ya tarehe 6 Septemba 2021.
Tafadhali kama Patrobas Katambi yupo ( ni JF...
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
Kukamatwa na kushitakiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumeibua mjadala, ambapo nchi ya Marekani imeshauri kuwepo na majadiliano kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na vyama vya upinzani.
Hayo yameelezwa jana na Naibu Waziri wa Nchi wa Masuala ya Siasa wa Marekani, Victoria Nuland...
Marekani imesema itaendeleza kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Siasa, Balozi Victoria Nuland leo Agosti 04, 2021
Akizungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, Balozi Nuland pia amesema...
Rais Joe Biden wa Marekani amemtuma “Naibu Waziri” (Under secretary) anayeshughulikia masuala ya siasa, Victoria Nuland, kwenda nchi kadhaa za Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako atakutana na Mama Samia Suluhu na pia kufanya maongezi na Wapinzani.
Naibu Waziri TAMISEMI, David Silinde ameagiza vipindi vya Dini viwe vya lazima kwenye Shule zote ili kupunguza uovu sababu Wanafunzi wenye hofu ya Mungu hawawezi fanya utovu wa nidhamu kama kuchoma Shule “Atake asitake, ahudhurie hata kama hafanyii Mtihani”
SHAKA HAMDU SHAKA ATETA NA NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU.
Leo Ijumaa 23 Julai 2021 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenye Ulemavu Mhe. Ummy Nderiananga Ofisini kwake Makao Makuu...
MIKATABA YA LUGHA ZA KIGENI KWA WANANCHI YAMKERA NAIBU WAZIRI
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew amesikitishwa na tabia ya baadhi ya watendaji wa makampuni ya simu nchini kuwasainisha wananchi mikataba au makubaliano yeyote ya kutumia ardhi ya...
OFISA Mifugo Manispaa ya Shinyanga, Velan Mwalukwa, ametiwa mbaroni kwa kumtolea lugha chafu Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, na Ajira.
Mwalukwa, ametiwa Mbaroni jana wakati wa mkutano wa Mbunge Katambi, Kata ya...
Naibu Waziri wa Afya, Mwanaidi Khamis ametaka watuhumiwa wa makosa ya unyanyasaji wa kijinsia wanyimwe dhamana ili kupunguza matukio hayo. Amesema hayo mkoani Kigoma baada kupewa ripoti kuwa wilayani Kigoma kati ya kesi 128 ni sita pekee ambazo wahusika wamehukumiwa vifungo.
Swahili Times
"Milioni 420 ni kwa ajili ya ukarabati wa Jengo la Madini katika maonesho ya Sabasaba, wenzetu wakaomba tuliite Magufuli na tukafikiria kwanini isiwepo sanamu?"
"Katika majadiliano hayo ndipo wanahabari wakachukua, 'Serikali kujenga sanamu kwa milioni 420" ---- Naibu Waziri Exhaud Kigahe
Pia...
Kumbukumbu zangu zinaonyesha, mara kadhaa manaibu waziri wa wizara ya kilimo wanapata bahati ya kuteuliwa kuwa wakuu wa mikoa
Nakumbuka mzee Stephen Masato Wassira, alikuwa naibu waziri wizara ya kilimo, baadaye hayati Mwalimu Nyerere akamteua kuwa mkuu wa mkoa wa Mara
Mzee Njelu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.