Yaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.
Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.
Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.
Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na...