Hivi inakuaje mtu wa miaka 30+ Hajawahi kufika Namanyere?🤔

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Yaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.

Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.

Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.

Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
 
Hongera Mkuu kwa kutangaza fursa za kutembelea Namanyere. Karibu Ngorongoro.
 
Yaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.

Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.

Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.

Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
Punguza Ushauri Kwenye Maisha Ya Watu,Vipumbele vyako Sio Vipaumbele vya mwingine.
 
Daaah nipo huku Kilimo Cha muda mfupi sana,ni miezi mitano tu na baadae ya hapo ni kukaa kusubiri mvua tena.

Yaani maeneo kama matala,Chala,mtenga,mashete,paramawe,kizi,lyazumbi, katete,kibaoni,milundikwa,usevya,majimoto na maeneo mengine mengine mashamba ya kulima mpunga yanakodishwa sh. 500,000 na shamba la mahindi ni 150,000 mpaka 200,000 kwa ekari moja. Sasa mtu aje kufanya nini huku na kwanini asiende morogoro? Maeneo ya mlimba?
 
Yaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.

Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.

Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.

Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
Kuna nini cha kipekee huko Namanyere hadi unapapigia debe?? Je, Namanyere inaweza kuipiku Rau madukani au Uchira??
 
Yaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.

Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.

Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.

Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
Hata katerero inashangaza sana mtu hajafika huko
 
naungana na yule Jamaa alie kua ana hoji kuhusu platinum member.
uzi kama huu unatosha kutoa majibu
Platinum membership maana yake ni kuwepo muda mrefu au miaka mingi jukwaani haina maana nyingine zaidi ya hio unaweza ukawa expert member ila hadhi yako ni ya Platinum membership na pia unaweza ukawa na Platinum membership ila sometimes hadhi yako inakua ni sawa kabisa na New Member, unanielewa vizuri?
 
Back
Top Bottom