al1
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 1,360
- 2,696
dahh Aya bhana mkuu🙌🏿Mkoa Rukwa, Nkasi
dahh Aya bhana mkuu🙌🏿Mkoa Rukwa, Nkasi
Kukodi Shamba Laki tano? Harafu ukivuna gunia utauza Laki mbili?Daaah nipo huku Kilimo Cha muda mfupi sana,ni miezi mitano tu na baadae ya hapo ni kukaa kusubiri mvua tena.
Yaani maeneo kama matala,Chala,mtenga,mashete,paramawe,kizi,lyazumbi, katete,kibaoni,milundikwa,usevya,majimoto na maeneo mengine mengine mashamba ya kulima mpunga yanakodishwa sh. 500,000 na shamba la mahindi ni 150,000 mpaka 200,000 kwa ekari moja. Sasa mtu aje kufanya nini huku na kwanini asiende morogoro? Maeneo ya mlimba?
hivi iko bara gani ili nianze kudunduliza vijisenti zangu nijiandae kwa pasport na visaYaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.
Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.
Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.
Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
Mtu ana miaka 40 hapajui NamabengoYaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.
Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.
Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.
Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
Namayenge ndo wapi?? MkuuYaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.
Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.
Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.
Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
Mambo ya kupanda mlima siwezi kujisifia.. Kuna siku nilijifanya ngangari, Nikaamkia Morogoro kupanda Mlima Uluguru.. Nilijuta sana.. Nikawe nasema kimoyomoyo, hivi najitesa hivi ili iweje? Napanda huu Mlima ili nipate nini? Nilitumia kama Maasaa saba kufika kileleni nikalala huko huko.. Nilikuta sehemu kuna kijumba cha Mlinzi wa Mitambo ya Radio.. Nahisi ni TBC sababu nilikuta Minara hujambo mingi.. Asubuhi nikashuka mjini Morogoro kunywa bia.. Nilitumia tena kama masaa matatu kushuka.. Tangia haapo nikakoma kupanda Milima.. Sasa hivi activities nataka ni kukimbiza kuku, kukimbia kwenye gunia au kukimbia na yai kwenye kijiko kikiwa mdomoni.. Sitaki tabuNjoo nawe upande kama unajiweza
Sasa kula yangu nategemea kutembeaMambo ya kupanda mlima siwezi kujisifia.. Kuna siku nilijifanya ngangari, Nikaamkia Morogoro kupanda Mlima Uluguru.. Nilijuta sana.. Nikawe nasema kimoyomoyo, hivi najitesa hivi ili iweje? Napanda huu Mlima ili nipate nini? Nilitumia kama Maasaa saba kufika kileleni nikalala huko huko.. Nilikuta sehemu kuna kijumba cha Mlinzi wa Mitambo ya Radio.. Nahisi ni TBC sababu nilikuta Minara hujambo mingi.. Asubuhi nikashuka mjini Morogoro kunywa bia.. Nilitumia tena kama masaa matatu kushuka.. Tangia haapo nikakoma kupanda Milima.. Sasa hivi activities nataka ni kukimbiza kuku, kukimbia kwenye gunia au kukimbia na yai kwenye kijiko kikiwa mdomoni.. Sitaki tabu
Mimi nashangaa mtu wa miaka 30+ hajawahi kupiga kuraYaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.
Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.
Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.
Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
MKANGAFFU YUPO SAHIHI EM NENDA KWENYE UZI WA PONJORO WA KINONDONI UKAONE WANANCHI WA MAMAMimi
Mimi nashangaa mtu wa miaka 30+ hajawahi kupiga kura
Sante kalesaaYaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.
Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.
Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.
Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
Exactly my question, wengine ndiyo tunalisikia hilo jina kwa mara ya kwanza.Namanyere ndio wapi huko?
Mwaka 2020 nipo ofisini kwa Hashim Rungwe Makumbusho, namwambia ninataka kugombea ubunge wa jimbo la Kibamba, akaniuliza hivi Kibamba ni wapi? Mzee anaishi ushuani masaki, hajui ndichi za Dar, mpaka nikamueleza kuwa ni lile jimbo mbunge wake ni Mnyika... Sasa huyo ni mwanasiasa wa Dar na hajui location za majimbo ya Dar.Yaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.
Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.
Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.
Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
Yule mzee anaishi masaki au Mikocheni B, Jirani wa Ridhiwani.Mwaka 2020 nipo ofisini kwa Hashim Rungwe Makumbusho, namwambia ninataka kugombea ubunge wa jimbo la Kibamba, akaniuliza hivi Kibamba ni wapi? Mzee anaishi ushuani masaki, hajui ndichi za Dar, mpaka nikamueleza kuwa ni lile jimbo mbunge wake ni Mnyika... Sasa huyo ni mwanasiasa wa Dar na hajui location za majimbo ya Dar.
Kuna wahindi vijana nilikutana nao posta, hawajui Mbezi Luis (Mbezi mwisho) ni wapi, wanadai wameishia ubungo tu na wamezaliwa Dar hapahapa.
😅😅😅😅Aisee! Namanyere miaka hiyo hakuna umeme,,, lami ilikuwa inaishia Chala kutokea Sumbawanga Mjini,,
Au unaweza ukachepuka kulia kwenye maporomoko ukaangukia pale Muze chini ukaelekea Mtowisa kama umepanda vile vi-Hiace vya NGALINDA.... halafu ukazama kule Kindumba ziwani..
Kindumba sijui wana maji siku hizi,, miaka ile unakunywa maji machafu ya ziwani yenye magadi...
Nikiwa pale Sumbawanga Mjini katika kuzurura nikafika mitaa ya Profesa Kanyau kule Sumbawanga Wenyeji,, nilishangaa kukuta kumbe Sumbawanga ina maprofesa wengi aiseee ..... UNTIL nilipogundua kumbe ukiwa tapeli kule Sumbawanga unaitwa PROFESA..
God forbid, acha tu wasipajue.Mtu ana miaka 40 hapajui Namabengo
Muache tuuuu...Lakini hakukuwa na sababu ya msingi kusema kwamba ambao hawajafika huko hawana utimamu wa akili.
Angeliweka kawaida tu tangazo lake, naamini lingeeleweka vizuri tu.