Hivi inakuaje mtu wa miaka 30+ Hajawahi kufika Namanyere?🤔

Yaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.

Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.

Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.

Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
ndio wapi huko gentleman? :pedroP:
 
Aisee! Namanyere miaka hiyo hakuna umeme,,, lami ilikuwa inaishia Chala kutokea Sumbawanga Mjini,,
Au unaweza ukachepuka kulia kwenye maporomoko ukaangukia pale Muze chini ukaelekea Mtowisa kama umepanda vile vi-Hiace vya NGALINDA.... halafu ukazama kule Kindumba ziwani..

Kindumba sijui wana maji siku hizi,, miaka ile unakunywa maji machafu ya ziwani yenye magadi...

Nikiwa pale Sumbawanga Mjini katika kuzurura nikafika mitaa ya Profesa Kanyau kule Sumbawanga Wenyeji,, nilishangaa kukuta kumbe Sumbawanga ina maprofesa wengi aiseee ..... UNTIL nilipogundua kumbe ukiwa tapeli kule Sumbawanga unaitwa PROFESA..
 
Yaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.

Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.

Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.

Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
We vipi inategemea mtu yuko mkoa gani na ana shughuli zipi,wewe pengine umeijua namanyere leo au hivi karibuni.Mimi nimefika namanyere miaka hiyo ya zamani ambapo mkuu wa wilaya alikuwa mzee kipanga na mkurugenzi wa halmashauri alikuwa anaitwa deo kithama.Niliandika uzi wa maisha yangu hapo namanyere,kijiji cha china na hatimaye kirando mtakuja,ama nilienjoy sana.
 
karibuni.Mimi nimefika namanyere miaka hiyo ya zamani ambapo mkuu wa wilaya alikuwa mzee kipanga na mkurugenzi wa halmashauri alikuwa anaitwa deo kithama
Hongera sana Mkuu, share link ya Uzi watu wajikumbushe.
 
Yaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.

Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.

Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.

Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
Majimoto
 
Mimi nimezunguka karibia mikoa 17 ya Tanzania bara, na sehemu kubwa ya zanzibar, pia nimegika nchi kadhaa (za kiafrika) ila startingi point yangu ni pale nilipozaliwa, na nikishazunguka narudi pale, kuna shida?
 
Yaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.

Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.

Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.

Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?

aise kuna sehemu inaitwa Namanyere?

Dadeq hilo jina lazima itakuwa sehemu ya hovyo!
 
Back
Top Bottom