Hivi inakuaje mtu wa miaka 30+ Hajawahi kufika Namanyere?🤔

Hivi inakuaje mtu wa miaka 30+ Hajawahi kufika Namanyere?🤔

God forbid, acha tu wasipajue.

Nilikaa siku 3 ilikuwa mwezi wa 5/6 sikumbuki vizuri 2021.

Niliondoka uso umebabuka kwa baridi, nilikaa lodge hamna maji ya moto na baridi lote lile, dada mhudumu akawa ananichemshia kwenye kuni asubuhi na jioni 😀😭 Na hiyo lodge ndio ilikuwa the best kuliko zote 🤦🏻‍♀️
Pole sana mkuu
 
Unatulazimisha sisi tuje kwenu huko kijiji chenyewe kipo makalioni mwa nchi
 
Back
Top Bottom