Hivi inakuaje mtu wa miaka 30+ Hajawahi kufika Namanyere?šŸ¤”

Hivi inakuaje mtu wa miaka 30+ Hajawahi kufika Namanyere?šŸ¤”

Daaah nipo huku Kilimo Cha muda mfupi sana,ni miezi mitano tu na baadae ya hapo ni kukaa kusubiri mvua tena.

Yaani maeneo kama matala,Chala,mtenga,mashete,paramawe,kizi,lyazumbi, katete,kibaoni,milundikwa,usevya,majimoto na maeneo mengine mengine mashamba ya kulima mpunga yanakodishwa sh. 500,000 na shamba la mahindi ni 150,000 mpaka 200,000 kwa ekari moja. Sasa mtu aje kufanya nini huku na kwanini asiende morogoro? Maeneo ya mlimba?
Mkuu nasikia kwasasa Ziwa Rukwa limeanza kuongezeka maji mpaka kufikia makazi ya watu?
 
Back
Top Bottom