Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania.
Vigezo anavyowapita wengine wote.
1. Anajua kucheza style zote za muziki
2. Ni mbunifu
3. Moves zake zinabadilika
4. Anaweza kucheza freestyle
5. Ni trainer mzuri sana
Je kwa biashara ni ipi bora kati ya Lipa ya voda na lipa za mabenki kama CRDB au NMB?
Ni ipi haina makato makubwa kwa mteja (wakati wa malipo) na mfanyabiashara (wakati wa kutoa ela)?
Naomba kujua ili nifanye maamuzi.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga, ameizindua rasmi namba mpya ya bure ya huduma kwa wateja wa TANESCO, 180. Uzinduzi huo umefanyika leo, Machi 12, 2025 ambapo Mhe. Kapinga alipata fursa ya kuongea moja kwa moja na mteja kupitia mfumo huo mpya wa mawasiliano.
Huduma hii inalenga...
Katika kuhakikisha TANESCO unahudumia wateja wake kwa haraka na kwa ufasaha, wamezindua namba mpya 180 ya kupiga bure masaa 24.
Havi karibu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alieleza kutoridhishwa kwake na Kituo cha Huduma kwa wateja cha Shirika la Umeme Tanzania...
Ukitaka kufuta namba ya mtu, usiseme "simu iliibiwa" au "nilipoteza namba." Kuwa mkweli: "Nimefuta namba yako kwa sababu niliona huchangii maendeleo yangu kwa vyovyote."
Ukweli unaokoa muda na heshima!
Je, unadhani ni sawa kufuta namba ya mtu bila taarifa, au ni muhimu kutoa maelezo?
Habari wana jamvi
Jana jioni mida ya saa 12 katika mtaa mmoja ninaoishi nilikuwa nimekaa na washikaji zangu tukibishana kuhusu kanuni za mpira baada ya bodi ya ligi kuahirisha mechi ya watani wa jadi simba na yanga
Simu yangu mfukoni ika,vibrate kuashiria kwamba kuna sms imeingia, sikuifungua...
MHADHARA (100)✍️
Sisi masikini tunahifadhi namba za simu za watu ambao wamefanikiwa kimaisha na wengine wameinuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali za uongozi. Tunafanya hivyo tukidhani kwamba siku tukipatwa na shida yoyote watatusaidia.
Wakati mwingine tunawapost mara kwa mara kwenye akaunti zetu...
Imebidi leo nifikirie kwa undani sana hizi taarifa zinazotolewa na vyombo vyetu vya habari mbali mbali hapa nchini kwa kupamba baadhi ya matangazo yakisema ligi namba 6 kwa ubora tanzania kiukweli nijambo jema kwa watanzania jambo moja muhimu ni je kitugani wanaangalia mpaka kuupa hadhi mpira...
Moja ya watu ambao ni wa kwanza kuifahamu LBL
Kupitia wao ni SOKOHURU
Kila kukicha alikuwa anaitangaza viongozi wa mikoani wengi wamekamatwa huyu jamaa mbona hakamatwi?
Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema " You can know the artist by studying his art"
Unaweza kumjua msanii kwa kuisoma sanaa yake...
Babu zetu walimuabudu na kumsujudu Mungu baada ya ku study kazi ya mikono yake.
Walipotazama, jua, mwezi, nyota etc , walipo jitazama wao wenyewe...
Mabinti
Feb inamalizika
Umru unaenda
March tunaongelea robo Mwaka angalia yapi unapitia
Niwakumbushe tu kweli maisha magumu lakini KUNA jambo nimeona niwaase Leo hiii
Sio kila anaekutongoza anakupenda
Wengine wametumwa uzisome namba
Kumbuka na wewe ulieolewa huyu mwanaume kabla ya kukuoa...
Hatimaye hadi mamlaka za Serikali hasa wizara ya mambo ya ndani imenyoosha mikono, imeweka bayana kuwa ifakara ndio Baba lao wa tuma kwenye namba hii.
Ifakara iko kijanja zaidi.
Ni hayo tu
Niende moja kwa moja kwenye mada, siku hizi kupata namba za simu za mwanamke imekuwa ni jambo rahisi sana bila kujali mazingira mnayokutana. Changamoto inaanzia baada ya kupata hiyo namba mtu unamtafuta aidha kwa kumpigia, kwa text au whatsapp lakini mtu hatoi ushirikiano. Kama unajijua wewe ni...
Nimeona clip hii kutoka Nyamongo na nimefurahishwa mno na uhodari na weledi wa watu wa Nyamongo huko Mara. Ni watu wasioyumbiswa wala kudanganywa na wana msimamo imara sana. Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza watu hodari na wenye akili wa Nyamongo na ingekuwa vyema mno kama watu wa maeneo...
Nikiwa elimu ya msingi, nimecharazwa sana bakora kisa namba za Kirumi.
Huku maishani haya makorokocho hayajawahi kuniingizia hata Senti Moja.
Kwanini wizara isiondoe masomo haya yakishenzi yasiyo na tija kwa taifa letu?
Kabla ya chaguzi utaweza kuangalia maandiko yangu. Niliota Mbowe kavaa jezi namba 17. Maana yake ni kwamba Mbowe anaungwa mkono au ni shabiki wa namba 17.
Sasa kwenye maono ya kiimani kumbe Lissu ndiye ambaye Mungu amekirimu katika namba 17 yaani 2017. Huu ndiyo mwaka ambao Mungu alimponya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.