Kwahiyo nyie na Minyege yenu mkipanda tu Dala Dala na kuona Wanawale wazuri (warembo) wamepanda (wapo) mnadhani kuwa pembeni zao au nyuma zao tunaowamiliki kwa Kutukuka hatupo hivyo mnaona ni njia nyepesi ya Kuwaomba Namba zao za Simu?
IGP Sirro kuna Raia wako Mmoja leo asubuhi ndani ya Dala...
Kulingana na Ripoti kutoka @FortuneMag imeeleza kuwa billionea namba moja duniani Elon Musk anakabiliwa na kesi ya Dola Bilioni 258 kwa madai ya kuwa sehemu ya mpango wa piramidi ya cryptocurrency ya LEGO, Ambapo yeye pamoja na kampuni zake za Space X na Tesla, wanashtakiwa na Keith Johnson...
Polisi Dodoma wanamshikilia Joachim Joseph wa Arusha kwa kusafirisha Wahamiaji 16 Waethiopia wasio na vibali kutoka Kilimanjaro akiwapeleka Mbeya kisha Afrika Kusini huku akitumia namba feki za SU kwenye Land Cruiser hii ili asisimamishwe, namba zake ni T752 BVL.
=====
Polisi Dodoma...
NI YUPI ADUI NAMBA MOJA WA JAMII YA KIMASAI
Moja kati ya mbinu za kivita zilizowahi kuyapa ushindi mataifa mengi wakati wa vita, hapa nazungumzia vita 1 na ya 2 mathalan ni kumjua adui yako.
Theory hii sio tu unaweza kuitumia wakati wa vita, hata kwenye maisha ya kawaida, ukitaka mafaniko...
NI YUPI ADUI NAMBA MOJA WA JAMII YA KIMASAI
Moja kati ya mbinu za kivita zilizowahi kuyapa ushindi mataifa mengi wakati wa vita, hapa nazungumzia vita 1 na ya 2 mathalan ni kumjua adui yako.
Theory hii sio tu unaweza kuitumia wakati wa vita, hata kwenye maisha ya kawaida, ukitaka mafaniko...
Mshambuliaji Marcus Rashford wa Manchester United amekataa ofa ya kwenda kuichezea Tottenham, kwa kuwa anataka kubaki kupigania namba katika timu yake ya sasa.
Rashford (24) ambaye alifunga mabao manne na asisti 2 msimu uliopita katika Premier League, kiwango chake kimeshuka na hivyo kukosa...
Wadau,
Kama nikiuza bidhaa zangu, hasa online kwa lipa namba za Mpesa, Tigopesa au whatever, je, VAT au kodi inajikata yenyewe na mimi kubakiwa na changu (kwa maana mtandao wa simu ndio utawasilisha kodi TRA) au nitatakiwa kulipa kodi kwa ile hela iliyoingia kwangu?
Ulaghai wa simu ni jambo ambalo hadithi zake tunazisikia kila siku toka kwa watu wanaotuzunguka. Mara nyingine, sisi wenyewe tunajikuta tukiwa waathirika. Ulaghai huu unaweza kumgharimu mlengwa kwa kiasi kikubwa, wakati mwingine hata akiba ya maisha.
Kwakuwa sote tunatumia vifaa hivi kama...
Naomba TAMISEMI msiwe mmezichukua namba zetu za NIDA Ili kujifurahisha naomba mzitumie Ili tupewe kipaumbele tunaomalizia ujana ukiwa mtaani.
Wale wenye namba zinazoanza na 1996+ watupishe kwanza wenye 1980s na Early 1990s
Ni kipindi kirefu sasa kumekuwepo aina hii ya utapeli tulioubatiza jina la “TUMA KWA NAMBA HII”. Wapo waliofanikiwa kukwepa na wapo waliolizwa, na bado kuna wahanga watarajiwa.
Haya yanatokea hata baada ya zoezi la usajili wa laini za simu ambao uliaminisha wengi ungekuwa suluhu ya jambo hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.