Wakuu,
Kwenye picha hiyo gari imewekewa pini zinazotumika kubania karatasi, ambapo kwa nilivyoelezwa inamuwezesha mhusika kubadili plate number haraka sana. Anachofanya ni kubetua hizo pini na kuweka plate number nyingine kwa juu!
Hii inamaanisha unaweza kugongwa, kutekwa, na kufanyiwa...