Kwa sasa vitambulisho vya wanafunzi vinaweza kupatikana kirahisi sababu kuna namba za simu za shule ambazo zinaelekeza atakayeokota apige namba husika kutoa taarifa.
Ila vitambulisho muhimu kama vya uraia, leseni, kadi za benki na vinginevyo havina namba za simu za wahusika kitu ambacho...
Kutokana na ukuaji wa Teknolojia, ukusanyaji Taarifa Binafsi za Mamilioni ya Wananchi unaohusisha Mifumo ya Biometriki umekuwa ukiongezeka kwa kasi Barani Afrika.
Mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania yamekuwa yakitumia Mifumo hiyo inayohusisha Alama za Vidole katika Utoaji wa Huduma kama usajili...
Habari za majukumu.
Tafadhalini natafuta namba za simu za kampuni ya PanAfrica ni watengenezaji wa bidhaa za plastiki { Galons } , naomba msaada kwa hilo tafadhalini.
Wasalaam
Mwandishi: RAYMOND NOEL Namba za simu: 0758659963
Asubuhi moja yenye baridi ilinikuta kwenye bonde dogo karibu na mtaa wetu, nilifika katika bonde hilo kwa lengo la kuchota maji katika chemchem maarufu inayopatikana hapo ambayo hutiririsha maji katika bonde kwa mwaka mzima, chemchem hiyo huwa...
Tunaomba taasisi za Serikali waweke namba zinazopatikana kwenye mtandao. Kimsingi ni vigumu kupata mawasiliano kwa kutumia namba za simu zilizoko kwenye mtandao kwani nyingi ya namba hizo hazipatikani kwa sababu tofauti tofauti (ni mbovu, hazijalipiwa au hazitumiki tena) nk.
Baadhi ya watu...
Nina jambo limenipata nina mwizi wangu ambae nina vithibitisho kwa 98% lakini kutokana na maeneo nilipo na yeye alipo nikimuweka ndani kwenye vituo hivi atapata Dhamana haraka.
Naomba msaada wa namba za simu wa askari wa kituo cha stakishari ili nikafungulie kesi yangu kule au namba za simu za...
Kwahiyo nyie na Minyege yenu mkipanda tu Dala Dala na kuona Wanawale wazuri (warembo) wamepanda (wapo) mnadhani kuwa pembeni zao au nyuma zao tunaowamiliki kwa Kutukuka hatupo hivyo mnaona ni njia nyepesi ya Kuwaomba Namba zao za Simu?
IGP Sirro kuna Raia wako Mmoja leo asubuhi ndani ya Dala...
Heshima kwenu wakuu.
Nipo najaza application form ya U.S Embassy kuna sehemu wakahitaji namba za simu halafu chini kuna sehemu ya kuweka Extension, nikasema nije kuwauliza wadau hii ina maana gani kwenye namba za simu wakuu...?
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wakuu. Thanks.
Mheshimiwa Mkurugenzi wa BRELA,
Hizi ni zama za kidijitali, na tuko fourth industrial revolution.
Lakini hapo kwako BRELA kuna tatizo.
NImeingia mfumo wa ORS nimekwama, na hakuna namna ya kupata msaada wa haraka kutoka customer care office ya BRELA.
Nimechukua namba za customer care staff...
Nilikuwa nafuatilia huko Ulaya kuhusu namna wanafamilia wa watuhumiwa na hata wafungwa wanavyosaidiwa kuepusha adhabu ya makosa ya wazazi kwenda kuwaumiza watoto wasio na hatia. Mara nyingi watoto wa watuhumiwa hupatiwa michango ambapo husaidiwa kuendelea na masomo na kufarijiwa maana...
Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali.
Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo.
Chanzo: Swahili times
Habari za Jumapili. Poleni kwa majukumu na pole kwa Mashabiki wenzangu wa SIMBA ila safarii bado.
Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa miaka 5 sasa (2016-2021) ila shida inakuja kwenye Simu yakee, hataki niishike na nikiishika nakuwa natumia nguvu sana, na anasema hataki nimkague ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.