Mwandishi: RAYMOND NOEL Namba za simu: 0758659963
Asubuhi moja yenye baridi ilinikuta kwenye bonde dogo karibu na mtaa wetu, nilifika katika bonde hilo kwa lengo la kuchota maji katika chemchem maarufu inayopatikana hapo ambayo hutiririsha maji katika bonde kwa mwaka mzima, chemchem hiyo huwa...