Salaam jukwaa la MMU
Ni kweli mtoa mada kaongea kishamba kwamba wasipewe simu kubwa ila mimi niko naye bega kwa bega kwa sababu hizi.
1. Hawa wa kutokea kolomije wa darasa la saba sio lazima sana wanavo fika mjini kuwaanzishia simu labda iwe ndogo, kama ni simu kubwa atashika yangu tena kwa...