Mwaka fulani, nilikuwa katika wakati mgumu sana, though kidogo nilikuwa na mpunga wa kusavaivu, kuna dogo mtoto mmoja nikakutana naye ameshindwa kuendelea na masomo kwasababu ya ada, niliamua kutoa hela kumlipia ada pamoja na kwamba mwenyewe nilikuwa na uhitaji mkubwa sana. Dogo akaenda shule...