Raisi nianze na kutoa sababu ya umasikini kuendelea kututafuna Watanzania ni kwasababu ya Serikali kusahau kuwainua vijana.
Vijana wa Tanzania hatuhitaji sana kukaa darasani bali tunahitaji mitaji kwasababu tumezaliwa na vipaji. Vijana wengi wa Tanzania tunafanya kazi kwa kutumia vipaji vya...