NAMNA YA KUWEZA KUISHI DAR! ISHI KIBEPARI
Anaandika Robert Heriel
Ni ndoto ya Vijana wengi hapa nchini kuja mjini hasa Dar es salaam. Hilo sio ajabu kwani hata katika mataifa mengine hiyo ni kawaida. Kwa Kenya Vijana wengi hutamani Nairobi, Nigeria ni Lagos na Abuja, Misri ni Cairo, na majiji...