Habari za leo wanajukwaa, poleni na majukumu...
Maisha siku za karibuni yameniwia magumu, tafadhali mwenye mbinu za kukabili hali hii anisaidie..
Biashara ndogo ninayofanya ambayo siku za nyuma ilikuwa ikinitunza sasa imeyumba.. Kuna muda naishiwa nguvu nakata tamaa..
Naona Msongo wa Mawazo...
Mwili wa binadamu huhifadhi joto lake kwenye wastani wa nyuzijoto 37. Mabadiliko madogo yasiyozidi nyuzijoto 1 yanaweza kutokea muda wowote wa siku kutokana na athari mbalimbali za kimwili na kimazingira.
Katika msimu huu ambao baadhi ya maeneo mengi ya nchi hayapati mvua za kutosha, baadhi ya...
Wakuu nipeni ujuzi hapa.. viatu vya ngozi kama hv naosha kwa kutumia maji ya kawaida, valve/spay, au Sabuni..?
Nipeni utaalamu maana naweza kuviharibu hv viatu paso kujua..
Siku hizi kumekuwa na utapeli mkubwa sana kwa njia ya mtandao, leo nitaelezea njia ya biashara na namna unavyoweza tapeliwa.
Biashara ni nyingi sana mtandaoni kama biashara ya nguo, viatu, simu, laptop na nyingine nyingi. Wapo wafanyabiashara ambao siyo matapeli na wapo matapeli.
Namna ya...
Inavyoonekana kupata uongozi ndani ya ccm ni jambo la kufa na kupona ndio maana uchaguzi wao una vitimbi na vituko vingi Kwa kiwango cha kufuatiliwa sana na wafuasi na wasiowafuasi.
Kilichonitisha ni misuli inayotumika kushinda uchaguzi. Misuli hii inawajengea ccm uzoefu wa kushinda kwa njia...
Wakuu Habari,
Leo nimeona nielezee kidogo kwa namna gani unaweza kujua uhalali wa kilometer zinazosoma kwenye gari unalotaka kununua either mkononi kwa mtu ama yard.
Hii njia haitaweza kuapply kwa magari yote kwa sababu mbali mbali ikiwemo kwamba kipindi fulani hapa nyuma magari yalikuwa...
Habari wakuu sana,
Kuna zile simu unapigiwa lakini unakuwa hautaki kupoke au muda huo hauwezi kupokea kwa sababu mbalimbali.
Sasa zinaita muda mrefu inakuwa kero na kukata huwezi. nimeona kuwa kwa wastani simu inaita sekunde 30-45.
Kuna namna ya kufupisha labda iite sekunde 5 au 10 hivi...
Utafutaji wa fedha kwa ajili ya Taasisi yaani "Fundraising Process" ni jambo muhimu sana kwa ustawi wa Taasisi. Kupitia "fundraising process" Taasisi itaweza kupata fedha kwa ajili ya; kutekeleza miradi, kugharamia shughuli za uendeshaji n.k. Jukumu la utafutaji wa fedha kwa Taasisi nyingi za...
Mahitaji:
Maziwa fresh 1lt, limao na sukari kidogo tu.
Anza kwa kuchemsha maziwa katika moto mdogo yapate moto ila yasichemke kabisa.
Kisha chukua limao kamulia ndani ya maziwa hakikisha yamekua mgando.
Halafu kusanya ule ugando ugando ambao ndio cheese 🧀 yenyewe uchuje vizuri kabisa kisha...
Wakuu nina mchumba wa kiislamu ambae tumeshibana sana na nataka nimuoe lakini imetokea changamoto kwa baba yake anataka nibadili dini na amekomaa kweli kweli.
Baba yake ni mtu wa dini na ni kiongozi kwenye BAKWATA. Binti hana maamuzi sana kwenye swala hilo anamsikiliza mshua wake.
Binti...
Sikia hii Kuna wanachuo wengi hawana uzoefu wa kujibu maswali ya Interview Vizuri,Hawajui ni kwa namna gani wanaweza Kuandika Barua ya kuombea kazi (Application Letter), Au wastaafu wamesahau namna ya kuandika barua ya aina yoyote ile
Lakini Kuna wengine CV KUandika Inawashinda Unajua hivi ni...
Sikia hii Kuna wanachuo wengi hawana uzoefu wa kujibu maswali ya Interview Vizuri,Hawajui ni kwa namna gani wanaweza Kuandika Barua ya kuombea kazi (Application Letter), Au wastaafu wamesahau namna ya kuandika barua ya aina yoyote ile
Lakini Kuna wengine CV KUandika Inawashinda Unajua hivi ni...
Habari ndugu zangu tupo na shule yetu inaitwa WILLIAM BRANHAM PRE AND PRIMARY SCHOOL ipo Mbeya - Mkoa wa Songwe Tunduma tupo kwenye mikakati ya kuifanya iwe international school.
Naombeni ushauri na mawazo hatua mbali mbali za kufuata ili tuweze kuifanya international school ili niweze kushare...
1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako ni ushamba fulani hivi,dizaini kama hujiamini so lazima ujivishe nyota. Unaboa.
2. Tembea na keshi...
Habari yako ndugu. Karibu tena, tunaendelea na makala zetu kuhusu madhara ya kisukari.
Kisukari huharibu figo kwa namna mbili: namna ya kwanza ni madhara ya moja kwa moja yatokanayo na uwepo wa kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu.
Tulijifunza kwamba kisukari husababisha shinikizo la damu...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanza nikupe Hongera ya kuendelea kuaminiwa kuendelea kuwa RC wa DSM, Ni heshima kubwa kwako kwa kuwa Mkuu wa mkoa wa jiji la kwanza kiuchumi na kibiashara, kiuwekezaji na hata mchango wake katika Pato la Taifa,
Ni mkoa ambao ndio Tanzania yenyewe ambapo hata...
Ilikuwa asubuhi na mapema baada ya hali yake kubadilika, alisikika akitoa kauli za matusi na vitisho vya kutaka kuua ndugu zake, ilikua ni takribani wiki mbilitu baada ya kufeli jaribio la kujiua. Ni mgonjwa wa akili ambaye amekua na historia ya matumizi ya madawa ya kulevya kwa kipindi kirefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.