Jinsi ya kushiriki Shindano la STORIES OF CHANGE
Kama tayari una Akaunti ndani ya JamiiForums.com, fungua Kivinjari chako (Browser) kisha ingia jukwaa la Stories of Change 2024
Bonyeza 'Start Discussion' halafu chagua 'Stories of Change 2024' itafunguka sehemu ya kuweka Tittle au Kichwa cha...
Habari JF,
Kwa wasio fahamu hii itikadi ya Kundi la Sukuma Gang inaundwa na watu wa aina 3 na ilikuwepo hata kabla ya 2015 kipindi hicho wakiwa ni wafuasi wa Lowassa ndani ya CCM hivyo baada ya kukatwa 2015 wengi wao wakaungana na Kundi la pili wanao support falsafa ya Hayati Magufuli.
Aina ya...
Wewe ni freelancer ,mwandishi au mfanyabiashara Na unahitaji kuweka mfumo wa kulipia ili watu kabla hawajajiunga kwenye group lako la WhatsApp au WhatsApp business waweze kulipia Na uweze kupokea fedha zako kirahisi.
Au pengine ni mfanyabiashara Na unahitaji kuuza bidhaa zako WhatsApp Na watu...
Imekuwa ni changamoto kwa watanzania Na baadhi ya watu kushindwa kupokea malipo yao kutokana Na PayPal ya Tanzania kushindwa kutoa fedha nchini.
Sasa nmekuja Na hili jipya, ni kuwa unaweza kupokea fedha zako bila shida wala Shaka yoyote. Huhitaji kuwa Na laini za Kenya au laini za nje ili...
Pengine ulikuwa unasumbuka namna ya kufungua akaunti yenye uwezo wa kupokea malipo nje ya nchi. Ila leo nmekuja na suluhisho. Hauhitaji kuwa na laini ya kenya au kitu kingine. Cha muhimu ni uwe na kitambulisho chako cha taifa. Unaweza ukapata fursa ya kufungua stripe akaunti pia.
Taarifa zako...
Tuanze na mwanzilishi wa neno "mbususu" sijui aliwaza nini. Linafanania na mahala husika. Wanawake walitambue hili
Twende kwenye hoja. Huyu rafiki hana cha maana cha ku-share na wenzie tofauti na ulaji wa mbususu
Utaskia mara oh mama fulani nimemla, mara mtoto wa fulani ana mbususu yenye...
Kwa nini ulipe gharama kubwa kuandika CV, fahamu kuwa unaweza kuandika cv yako kwa urahisi zaidi popote ulipo na ukaipata .Fuata maelekezo.
1. Ingia kwenye tovuti ndogo My professional CV
2. Nenda sehemu pa View web version.
3. Bonyeza CV form
4. Chukua link ya CV yako.Iandike google search
5...
Kama wewe ni freelancers au ndo unaanza kazi ya freelancing basi sio mara ya kwanza kusikia makampuni, ikiwemo upwork, fiverr, guru, indeed, au people per hour. Na pengine ulishawahi kuomba kazi kwenye makampuni yote hayo bila mafanikio. Kitu gani naweza kukuambia ni kuwa unaweza kupata clients...
Mhe.Rais wa JMT,
Mhe.Waziri wa TAMISEMI
Nawapongeza kwa jitihada zenu katika kutengeneza na kutoa fursa za ajira nyingi sana katika kada ya ualimu na Afya. Ni ishara njema katika kupunguza tatizo la ajira nchini.
Mhe. Waziri wa TAMISEMI, maoni na mapendekezo haya ni kwa ajili ya ofisi yako...
JE Unapenda Kujifunza Cinema 4D au Blender? ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D.
Mwezi sasa toka nianze kujifunza Animation kwa kutumia Cinema 4D na Blender.
Week hii nmefanya kazi moja ya kutangaza bidhaa ya mteja kwa kumdizainia flyer, logo na Motion graphic ya bidhaa yake...
Tangu muda mrefu nimekuwa nikiwiwa kutaka kuanzisha Taasisi au Kampuni Binafsi ya Upelelezi hapa nchini Tanzania ili kufanya uchunguzi juu ya masuala mbalimbali ambayo yanahitaji kuchunguzwa.
Kikwazo kikubwa kinachoikabili hii dhamira yangu ni kutokufahamu namna au utaratibu rasmi ambao...
Habari zenu,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu kama kuna mtu mwenye ujuzi namna ya kuingiza pesa basi nahitaji kujua angalau nielewe hii kitu maana nimekuwa nikisikia sijui online business lakini sielewi chochote.
Jamani nahitaji mchango wenu nyie wenzetu wenye ujuzi hata kidogo.
Chama tawala cha South Africa cha ANC kimesema kuwa kimewatuma maafisa wake kwenda Russia ku-discuss na chamade tawala cha Urusi juu ya kurekebisha 'global order' ili mataifa yawe huru kufuata tamaduni zao, tusilazimishane kufuata tamaduni za kimagharibi (ndoa za mashoga na wasagaji) na pia kila...
Nakumbuka miaka ya 90 mwishoni kuliandikwa habari kwenye magazeti kadhaa kuwa mlima Meru unaongezwa urefu. Kulikuwa na picha za Helkopta kuwa zitabeba mchanga kupeleka juu mlimani.
Picha nyingine ilimuonyesha mtu ameshika sururu eti ni mtaalamu wa kuongeza milima urefu. Iliandikwa kwa namna ya...
Kuna kozi nataka nisome inayotolewa na Chuo kimoja Cha ujerumani. Sasa wamenielekeza namna ya kulipia ila sijaelewa maana sijawahi Kufanya International transactions. Tafadhali nisaideni. Naambatanisha na screenshot ya maelekezo yao
Hali ya maisha imewachanganya vijana wengi, mazingira na hali sio rafiki kwa biashara, Ajira na zenyewe hakuna.
Vijana wamesoma na sasa wameishia mitaani, nguvu ya wazazi nayo imeishia hapo, serikali nayo imeishia hapo, kwanini kijana asichanganyikiwe.
Ongezeko la watoto wa mtaani nao ni zao...
Habari wanabodi,
Naomba kufahamishwa au kujuzwa je, nikitaka kuonana na mama Samia yani face to face nifanyeje? Wazo hili limenijia kwa mfano unataka kuongea naye je, unamngoja akiwa kwenye msafara unamuomba? Unamngoja afike ikulu ndogo mkoa anaotembelea unamfata?
Akiwa safarini unampigia...
Wadau nimejichanga kiasi fulani cha pesa, ingawa hakitoshi kuagiza gari used Japan lakini naweza nunua ya mkononi hapa Dar walau nitimize ndoto yangu ya kutembea nikiwa nimekaa.
Naomba msaada vitu vya kukagua kwenye gari kujua kama nzima au nabambikwa, pia kama imewahi pata ajali au la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.