Kujiajiri ni hatua nzuri sana kwa watu wanaotaka kuanzisha biashara zao na kuwa wajasiriamali huru. Hapa kuna miongozo michache kuhusu namna ya kujiajiri:
1. Chagua wazo la biashara: Anza kwa kuchagua wazo la biashara ambalo linakuvutia na linaloendana na ujuzi wako, shauku yako, na mahitaji ya...
Kichwa Cha habari wakuu kinajieleza nataka kununua tutorials kwa ajili ya kujifunza zaidi
Ukifika hatua hii unafanya JE kama mfano WA kwenye hii picha hapa.
Mheshimiwa rais, natumaini unaendelea vema na majukumu yako ya kuongoza serikali.
Niende moja kwa moja kwenye ushauri wangu.
Tengeneza sera ya kubadili mfumo wa manunuzi nchini kuondoka kutoka kwenye matumizi ya cash na kuwa wa kieletroniki.
Na jambo hili lisifanyike kwa kutunga sheria ya...
Katika soko la vifaa vya kielektroniki, kununua iPhone mpya au iliyotumika ni chaguo linaloathiriwa na mahitaji na bajeti ya mtumiaji. Kuelewa tofauti kati ya iPhone mpya na iliyotumika ni muhimu ili kuhakikisha unapata thamani bora kwa pesa zako. Hapa chini ni uchambuzi wa kitaalamu juu ya...
Nimeshaona kipindi cha upigaji kura kuna matangazo mengi kwenye vyombo vya kupashana habari,mitandao ya kijamii na kupitia mikutano ya kijiji inatoa semina kwa wananchi katika umuhimu wa upigaji kura,nimeona kelele za wanasiasa wakiwaambia wahitimu kuwa wajiajiri,nimeona makongamano mengi ya...
Ukoloni mamboleo ni mfumo wa kidunia ambapo nchi zilizostawi zinadhibiti na kunyonya rasilimali za nchi zinazoendelea kwa njia zisizo za moja kwa moja, ikiwemo kupitia mikataba ya kiuchumi, msaada wa kifedha, na ushawishi wa kisiasa na kitamaduni. Tanzania, kama nchi nyingine za Afrika...
Namna inayoweza kupunguza ajari kwenye barabara zetu.
Barabara zetu nyingi zenye viwango vya lami, Zimewekwa alama za barabarani zinazosaidia kuongoza watumiaji wake wa vyombo vya moto, lakini watumiaji wengi hasa wa madereva wa magari hawazingatii alama hizo.
Kwa mfano ajali nyingi...
Ndio inapaswa iwe hivi, waziri wa kilimo ajue kupiga jembe haswa tena la mkono.
Waziri wa TEHAMA ajue masuala ya IT na wizara zingine zote wawe wanafanyiwa majaribio na kupewa mitihani kabla hawajaingia kwenye wizara husika.
Minister Of Sports Uganda.
Je unaelewa nini kuhusu Kichechefu wakati wa ujauzito/ Morning sickness?
Kichefuchu ni dalili ya kawaida ya ujauzito, hasa wakati wa kipindi cha kwanza cha mimba(miezi 3 ya mwanzo). Hali hii inaweza kukufanya uhisi kuchefuka au kuwa na kizunguzungu na kukuacha bila hamu ya kula. Ingawa ni...
Utangulizi; mazao mepesi kuharibika ni nguzo imara ya kipato kwa wafanya biashara wadogo wadogo kama vile mbogamboga na matunda, lakini changamoto kubwa ni kuharibika kwa uharaka hasa yawapo sokoni jambo ambalo hupelekea hasara kwa wafanya biashara hawa.
Utatuzi; ili tuweze kuishi Tanzanian...
Habari za Leo wanajforum?
Tafadhari, naomba tupeane elimu ya talaka hapa jamvini. Elimu ya talaka ni muhimu sana lakini bado haitolewi vya kutosha, tangu nisome elimu yangu, sikuwahi kukutana na mada ya kutalikiana kwa wanandoa, huenda ni elimu ya watu wazima tu. Lakini hatuna budi kujifunza...
Kumekuwa na mikakati kabambe ya kuboresha elimu nchini Tanzania. Ata hivyo njia hizo bado zinazalisha wahitimu tegemezi kwa serekali katika masuala ya ajira. Hii imepelekea wahitimu wengi kukosa ajira na kuiona elimu kama haina maana. Serikali inaweza kufanya yafuatayo ili kuboresha elimu kwa...
Dhana ya kufanya biashara kwenye maduka ya dawa Muhimu (DLDM) inahatarisha maisha ya wananchi wanao kimbilia kupata huduma kwenye maduka haya .Maduka ya dawa yamerahisisha huduma ya upatikanaji wa dawa za binadamu wakati huohuo yameongeza hatari ya kupata madhara yatokanayo na dawa hizo.Hii...
Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal.
Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa kutumia level ya certificate na siyo Diploma.
Naomba mnisaidie kama kuna namna ya kufuta.
UTANGULIZI.
Kuna Msemo unasema kuwa "Ajira ni chache ila kazi ni nyingi". Hii inatupa tafsiri kuwa, ajira zinapatikana kwa uchache sana ila kazi (Kujiajiri)/Fursa, zipo nyingi na hii inategemea na uwezo wa mtu (Taifa) kuziona fursa hizo na kuzibadili kuwa fedha na kutengeneza ajira kutoka katika...
Nawasalim kwa jina la TZ.
Naomba kufahamishwa jinsi ya kuipika,ama kuiandaa kwa ajili ya kula nyama ya kopo.
Ninapoenda supermarket hua naiona sana nyama hii ya kopo,natamani kuinunua,lkn sijui kuiandaa kwa ajili ya kula,ama kuipika maana najua tayari hua imekwisha kupikwa.
Je ninaiandaaje kwa...
Tukio la Jana la Israel kushambulia kwa ndege nchini Iran kujibu shambulizi la drones la Iran lililotangulia ni la kiwango cha juu kuashiria vita kamili . Hili Shambulizi lilipangwa kwa mkakati kama vile jeshi lililoko vitani serious na sio kama michezo ya kidali poo anayojaribu kufanya Iran...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.