Kutoka kwa Rafiki yangu!
Juzi alinifuata masikani kuniomba ushauri kwamba ametokea kuvutiwa kimapenzi na boss wake wa kike anapofanyia kazi lakini anaogopa kumwambia ukweli wa hisia zake kwa kuhofia atafukuzwa kazi. Na pia anadai si mke wamtu.
Sasa mimi ni kamshauri kwamba ajaribu siku kupiga...