Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kutoka kwa Rafiki yangu!
Juzi alinifuata masikani kuniomba ushauri kwamba ametokea kuvutiwa kimapenzi na boss wake wa kike anapofanyia kazi lakini anaogopa kumwambia ukweli wa hisia zake kwa kuhofia atafukuzwa kazi. Na pia anadai si mke wamtu.
Sasa mimi ni kamshauri kwamba ajaribu siku kupiga naye stori kama ni boss ambaye ni mcheshi kwa wafanyakazi wake, na ajaribu kuumuliza vimaswali fulani hivi kuhusu mahusiano moja wapo kama je siku mfanyakazi wake wa kiume akitokea kumtongoza atakubali kuwa naye kwenye mahusiano?
Vipi wadau hapo? Au amtokee moja kwa moja tu kama ubaya ubwela tu.
Naombeni ushauri wenu nanyi wa ziada ni muokoe jamaa yangu!