Kazi yenyewe umetafutiwa na ndugu yako baada ya kukaa bechi toka 2019 ulipomaliza Udsm faculty of education sahivi umetafutiwa kazi kwenye M-pesa unataka umtongoze tajiri ukifunguzwa kazi unasema umelogwa na ndugu zako usipate ajira
Hakukuwa na ulazima wa kunikosea heshima.
Hatujuani humu, hujui umri wangu.
Sijakushambulia.
Basi ongeza kunitukana ufurahi nafsi yako.
Tukana na bibi na babu zangu uridhike Kama hiyo inakupa furaha.
Aisee mwambie aache ujinga, afanye kazi, wanawake ni wale wale wenye kulipa visasi, mtaanza mapenzi vizuri ila mkipishana kauli tu, tatizo haliishii huko mlikopishana linaenda mpaka kazini, asifanye huo ujinga ataharibu kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.