Nimetokea kuvutiwa kimapenzi na boss wangu wa kike

Nimetokea kuvutiwa kimapenzi na boss wangu wa kike

Mwanaume ni boss wa mwanamke siku zote, we mtafutie angle nzuri tu mwambie ukweli si ajabu ndiyo akawa mke wako baadaye.
 
Kwan boss wake mwenyewe anasemaje?
😂😂😂😂
 
Ben Afleck alikuwa dancer wa Jenifer Lopez kisha akaingia uhusiano nae wa kimapenzi na kuoana nae.
Boss JLo hakumfukuza kazi Ben.
Kunadau humu anasema mapenzi hayana formula.
Ikiwa Ben Afleck ndio standard ya mapenzi kwa mabosi, basi na ajaribu.
 
Back
Top Bottom