Kama kichwa kinavyojieleza..nahitaji ufafanuzi wa huo mstari kwenye wimbo wa hao mabinti wawil ambao inasemekana wanapenda sana kwichkwich!
Merry Christmas 🌲
Wabobezi wa Sheria za mikataba waingie kazini wamsaidie huyu mrembo kijana na mwenye mvuto mkubwa Afrika nzima ,kuuvunja mkataba wake na Wasafi ili asimame mwenyewe kwa uwezo wa zuchu akiwa mwenyewe atafanya makubwa sana!
Zuchu asipoondoka Wasafi atadumaa na hatakuwa huru hata siku Moja ...
Wakuu
Billnass amemzawadi Nandy gari ya ndoto yake, aina ya Defender new Model ya mwaka 2023
Gari hili linaifanya kuwa la nane (8) Kwenye parking ya magari yao
Nandy amemwandikia haya mumewe kumshukuru kwa zawadi
Tofauti na mwanzoni alivyokuwa anavaa nguo nzuri sana na zinazomsitiri vema, hakika alikuwa anapendeza sana na nina uhakika ndicho kilichomuongezea umaarufu na kupendwa.
Ila kwa sasa naona Nandy naye anavaa vinguo kuonyesha tumbo, mapaja na matiti. Ukiangalia sura ya Nandy haijakaa KIMCHARUKO...
Moja ya wanadada icons kwenye muziki wa bongofleva.
Bidada anaejua kuimba na kucheza na jukwaa na mwenye utajiri wa kutisha Nandy amefunguka maswaibu aliyowai kukutana nayo akiwa kwenye show ya fiesta mkoani mbeya ambapo alipigwa chupa na watu wa Mbeya akiwa aelewi kosa lake haswa ni nini...
😂😂 hivi huyu Dulla Makabila ana nini kwani? Jamaa amekuja na tuzo zake "Makabila Awards" na ametangaza vipengele tisa vilivyojaa utani, kuna UVUMILIVU, FITNA YA MUZIKI, CHAWA BORA mpaka KUPENDA WAGANGA 😂😂
Sema Ruby na Ray the Boss kama hajapenda hivi. Wakasuka kwenye comments na kumpa vidonge...
Msanii Nandy ameshiriki video leo septemba4 inayoonyesha mjengo wao mpya wa kifahari waliotumia miaka miwili kuujenga, na kuandika maneno haya (Tunasmshukuru mungu sana kutuwezesha kushare na nyie bhii furaha kubwa ya hatua ya maisha yetu,....
Nyumba yetu ya kwanza katika ndoa na zawadi ya...
Nikimuangalia Nandy namuona kama mwanangu kwa umri wake. Ni msanii mwenye kipaji kikubwa sana na pia ndiye msanii pekee wa kike nchini mwenye Personality nzuri sana.
Ninatamani kuona siku moja akijikomboa kwa kuanzisha media station yake NA HAKIKA INGEBAMBA SANA kuliko Wasafi media.
Nimeshauri...
Nimezisikiliza zote na kuangalia video zao hakika Nandy na Ali Kiba mmetoa nyimbo nzuri sana.
Pamoja na Diamond kui promote sana Mapozi kwa kutumia media zake ili kuifunika Dah! Lakini wapi.
Pia chemistry ya Kiba na Nandy ipo vema sana kwasababu wote ni wanamuziki wenye personality yenye...
Habari njema kwa Team Nandy na habari mbaya kwa team Diamond Platinumz.
Msanii Nandy ameendelea kushika namba moja kwenye Trend za Youtube licha ya staa Diamond platnumz kutoa video ya wimbo wake wa Mapozi aliowashirikisha Jay Melody na Mr Blue.
Wimbo wa "Dah" ambao Nandy amemshirikisha...
Staa wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya THE AFRICAN PRINCES Nandy, ameweka wazi kutafutwa na msanii wa RnB kutoka nchini Marekani Usher Raymond kwa ajili ya Remix ya wimbo wake wa Dah ambao awali alimshirikisha Msanii Alikiba.
Nandy ameshare chat zake na Usher akimuomba aweke Verse...
Baada ya kushika namba moja kwenye Youtube na kusema kuwa wapinzani wake waongeze juhudi maana hawampi changamoto, hatimae Diamond ametolewa namba moja na msanii Nandy kwenye video zinazo Trend mjini Youtube.
Wimbo unaoitwa "Dah!" Wa msanii Nandy akishirikiana na Alikiba ndio unaoshikilia...
Kutoka kwenye kazi mpya za muziki zilizoachiwa mwaka huu zilizoambatana na sauti zilizovuma na video za #challenge mbalimbali ambazo zimevuma, Mwaka 2023 umekuwa mwaka mwingine mzuri kwa muziki wa Tanzania.
Tunapoelekea ukingoni wa mwaka 2023, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki...
Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey, mara kwikwi sasa katuletea Chapati 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu.
Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi.
Kifupi...
Habari wadau.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza billnass amepatia sana kumuoa nandy. Kwa sababu zifuatazo
1. Same Purpose kwenye maisha kati yao billnass na nandy. Wote wana passion na muziki. Billnass anajua kuandika nyimbo na mke wake nandy anajua kuimba. Wameji complete hapa. Nandy...
Lazma tuweke ushabiki pembeni, na tushindanishe kwa haki, tuongee ukweli kati ya Amapiano aliyotoa dada Nandy unaoitwa Falling na hii Amapiano aliotoa msanii namba moja kwa mashabiki wengi Diamond inayoitwa Shu, ipi ni ngoma kali kiukweli ukweli, ipi Ina vibe?
Hapa ieleweke nashindanisha ngoma...
Juzi kati hapa tumeona Nandy akiwashambulia Wasafi media akiwatuhumu mambo ya kitoto yasiyo na kichwa wala miguu.
Wote tunajua Nandy hajawai toa ushirikiano kwa Wasafi media akiombwa interview au kumshirikisha kwa namna yoyote anachomoa. Lengo kutengeneza kitu kwa mashabiki kuwa anabaniwa ili...
Mwijaku amedai ni aibu kubwa kwa msanii mkubwa Kama Nandy na mumewe kuendelea kusaidiwa kutunziwa Mtoto na msanii mwenzake Diamond.
Mwijaku amemtaka Nandy akamshukuru ndg Diamond kwa kipindi chote alichomsaidia na malezi ,Kisha yeye kuendelea kutuma hela ya matumizi kwa Mobetto mpaka Mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.